Kuna msemo unasema with age comes wisdom but sometimes age comes alone.
Lakini utafiti wa hivi karbuni unasema age comes with wisdom.
Huu mwaka nimeingia 30 years old, soon naaza 31. Mambo niliyomua nayafanya hjko nyuma najikuta tu automatically siyafanyi.
I now respect women more than I used to be, na hii imekuja automatikale, sijui hata nimekuaje lakini naona haya ni matokeo ya kuongezeka umri.
Najikuta tu sasa hata natongoza hata single moms na nawatafuna kwa moyo mkunjufu kabisa, miaka michache iliyopita sikua hivi, nikishagundua mwanamke amezaa simtongozi kabisa.
Nimejikuta naanza kuona vitu vingi kwa jicho la tofauti, nimejikuta naanza iutambua kua vitu sio haviko kama vinavyoonekana kua.
Kweli umri unakuja na busara.