Nimeamini Freeman Mbowe ni kiongozi makini

Swet-R

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
5,611
Reaction score
8,096
Kwenye mada moja kwa moja kile kilichotokea jana kwa kwa wanachama wa CHADEMA,19. Halima Mdee na wenzake kuwafukuza rasmi uanachama wengi hawakukitegemea.

Wengi walijua wale wabunge wa kujipeleka wangependelewa na kuonewa huruma either walitegemea waachiwe wamalizie muda wa ubunge waliojipeleka au ubunge wao usitambuliwe bali waendelee kuwa wanachama.

Nisema tu ukweli,hata mimi sikutegemea maamuzi ya kuwafukuza. Lakini pia kwa jinsi hatua za kidemocrasia zilivyofuatwa za kupiga kura.

Ni hatua za uhuru na democracy kila mtu ashiriki maamuzi. Hatimae chini ya mwenyekiti Mbowe maamuzi huru yamepatikana,nimeridhishwa na hayo maamuzi kwa 100%. Huyo ndio Mbowe kiongozi.

Ushauri wangu kwa akina Halima Mdee kwa sasa wawe watulivu. Baadae waandike barua za kutambua makosa yao na waombe msamaha kwa dhati kabisa. Chini ya mwenyekiti Mbowe watarudishwa kundini.

Viva CHADEMA viva Mbowe.
 
Kwenye mada moja kwa moja kile kilichotokea jana kwa kwa wanachama wa CHADEMA,19. Halima Mdee na wenzake kuwafukuza rasmi uanachama wengi hawakukitegemea. Wengi walijua wale wabunge wa kujipeleka wangependelewa na kuonewa huruma either walitegemea waachiwe wamalizie muda wa ubunge waliojipeleka au ubunge wao usitambuliwe bali waendelee kuwa wanachama. Nisema tu ukweli,hata mimi sikutegemea maamuzi ya kuwafukuza. Lakini pia kwa jinsi hatua za kidemocrasia zilivyofuatwa za kupiga kura. Ni hatua za uhuru na democracy kila mtu ashiriki maamuzi. Hatimae chini ya mwenyekiti Mbowe maamuzi huru yamepatikana,nimeridhishwa na hayo maamuzi kwa 100%. Huyo ndio Mbowe kiongozi.

Ushauri wangu kwa akina Halima Mdee kwa sasa wawe watulivu. Baadae waandike barua za kutambua makosa yao na waombe msamaha kwa dhati kabisa. Chini ya mwenyekiti Mbowe watarudishwa kundini.

Viva CHADEMA viva Mbowe.
Kitendo cha kusikitisha wameambiwa waombe msamaha wakakataa
 
Taifa letu linapambana na Ujinga na Umasiki.

eehe Mungu tusaidie, Weka watu wako ndio waongoze nchi Yetu, Tumechoka Kuwa watumwa wa kimaendeleo.
 
Kwenye mada moja kwa moja kile kilichotokea jana kwa kwa wanachama wa CHADEMA,19. Halima Mdee na wenzake kuwafukuza rasmi uanachama wengi hawakukitegemea.

Wengi walijua wale wabunge wa kujipeleka wangependelewa na kuonewa huruma either walitegemea waachiwe wamalizie muda wa ubunge waliojipeleka au ubunge wao usitambuliwe bali waendelee kuwa wanachama.

Nisema tu ukweli,hata mimi sikutegemea maamuzi ya kuwafukuza. Lakini pia kwa jinsi hatua za kidemocrasia zilivyofuatwa za kupiga kura.

Ni hatua za uhuru na democracy kila mtu ashiriki maamuzi. Hatimae chini ya mwenyekiti Mbowe maamuzi huru yamepatikana,nimeridhishwa na hayo maamuzi kwa 100%. Huyo ndio Mbowe kiongozi.

Ushauri wangu kwa akina Halima Mdee kwa sasa wawe watulivu. Baadae waandike barua za kutambua makosa yao na waombe msamaha kwa dhati kabisa. Chini ya mwenyekiti Mbowe watarudishwa kundini.

Viva CHADEMA viva Mbowe.
Gaidi la saccos halina umakini wowote.
 
Umakini wake umesihia hapo tu,

Ila hana umakini wowote wa kumfanya walau chama kitinge ikulu
 
Ushauri wangu kwa akina Halima Mdee kwa sasa wawe watulivu. Baadae waandike barua za kutambua makosa yao na waombe msamaha kwa dhati kabisa. Chini ya mwenyekiti Mbowe watarudishwa kundini.
Naunga mkono hoja ✍️✍️✍️
 
Kuwafukuza akina mdee ni kutoangalia ulikotoka na unakokwenda. It is a self inflicted homicide.
 
Kwenye mada moja kwa moja kile kilichotokea jana kwa kwa wanachama wa CHADEMA,19. Halima Mdee na wenzake kuwafukuza rasmi uanachama wengi hawakukitegemea.

Wengi walijua wale wabunge wa kujipeleka wangependelewa na kuonewa huruma either walitegemea waachiwe wamalizie muda wa ubunge waliojipeleka au ubunge wao usitambuliwe bali waendelee kuwa wanachama.

Nisema tu ukweli,hata mimi sikutegemea maamuzi ya kuwafukuza. Lakini pia kwa jinsi hatua za kidemocrasia zilivyofuatwa za kupiga kura.

Ni hatua za uhuru na democracy kila mtu ashiriki maamuzi. Hatimae chini ya mwenyekiti Mbowe maamuzi huru yamepatikana,nimeridhishwa na hayo maamuzi kwa 100%. Huyo ndio Mbowe kiongozi.

Ushauri wangu kwa akina Halima Mdee kwa sasa wawe watulivu. Baadae waandike barua za kutambua makosa yao na waombe msamaha kwa dhati kabisa. Chini ya mwenyekiti Mbowe watarudishwa kundini.

Viva CHADEMA viva Mbowe.
Kabisa Mbowe ameonesha uongozi uliotukuka kabisa, huyu tuambatane naye hadi awe rais.
 
Mbowe ni kiongozi bora kuwahi kutokea karne hii. Ninaamini angepewa serikali, vilio vilivyo sikika ndani ya miongo mitatu ya hivi karibuni visingekuwapo tena.
Kiongozi kama huyu, hajawahi na hawezi kupatikana CCM. Kwani uuaji na uonevu ndo sifa ya viongozi huko CCM. Mbaya zaidi CCM ikapata kiongozi mwenye sifa hizo kwa kiwango kikubwa awamu iliyo pita, CCM wakafurahia sana matendo yake, ila Mungu mwenye huruma nyingi, akawaonea huruma wanyonge wa Tanzania kwa kuingilia kati.
Tumwombe Mungu asiishie hapo tu, bali atuondolee hiki kikundi cha laana CCM, na kutupa Mbowe ili angalau tufute machozi yetu tulio wanyonge wa nchi hii.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Umakini wake umesihia hapo tu,

Ila hana umakini wowote wa kumfanya walau chama kitinge ikulu
Ukiona anaongea na Rais na Mwenyekiti wa Chama kipekee roho hukuuma sana Wewe! Na hii ndiyo tofauti yake na Wewe! Mbingu na Ardhi!
 
Kitendo cha kusikitisha wameambiwa waombe msamaha wakakataa
Walimtegemea sana mwendazake na ndugai. Hakika nimeamini dunia inaenda kasi sana. Usiache mbachao kwa msala upitao. Wakamdharau Mbowe kwa fadhira za muda tu
 
Umakini wake umesihia hapo tu,

Ila hana umakini wowote wa kumfanya walau chama kitinge ikulu
Kubalini KATIBA MPYA NA TUME HURU. Asubuhi tu mnarudi kulima viazi
 
Mbowe ni kiongozi bora kuwahi kutokea karne hii. Ninaamini angepewa serikali, vilio vilivyo sikika ndani ya miongo mitatu ya hivi karibuni visingekuwapo tena.
Kiongozi kama huyu, hajawahi na hawezi kupatikana CCM. Kwani uuaji na uonevu ndo sifa ya viongozi huko CCM. Mbaya zaidi CCM ikapata kiongozi mwenye sifa hizo kwa kiwango kikubwa awamu iliyo pita, CCM wakafurahia sana matendo yake, ila Mungu mwenye huruma nyingi, akawaonea huruma wanyonge wa Tanzania kwa kuingilia kati.
Tumwombe Mungu asiishie hapo tu, bali atuondolee hiki kikundi cha laana CCM, na kutupa Mbowe ili angalau tufute machozi yetu tulio wanyonge wa nchi hii.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Mbowe bonge la kiongozi. Naamini hatapotea bure. Pamoja na uhuni anaofanyiwa na ccm ,lakini MUNGU ni mwema,atatumika siku katika nchi hii
 
Walimtegemea sana mwendazake na ndugai. Hakika nimeamini dunia inaenda kasi sana. Usiache mbachao kwa msala upitao. Wakamdharau Mbowe kwa fadhira za muda tu
Kweli kabisa.
Hivyo ndivyo alivyo shetani, anakupa utamu kidogo, unamkubali kisha anakuacha pekeyako uadhirike

Back
Top Bottom