Kwa EL itakuwa vigumu kuikubali. Na hii ni kutokana na chenga ya mwili ya bwana mkulu. Nafikiri EL aliamini maneno ya mkulu, kuwa wewe achia ngazi kwani tuko pamoja. Sasa amegeukwa bila kufikiria mazuri aliyoyafanya ya kumuwezehsa mkulu kuwa madarakani. Hii inauma sana tena sana. Ni vigumu watu kuelewa kuwa EL ni mbaya kiasi hicho, kwani mbona mkulu alisha mnadi kuwa EL ni jembe, pia wamekuwa pamaoja kwa muda mrefu na bila kkumkalipia.
Kwa vyovyote itakavyo kuwa, CC ya CCM imejiweka doa ambalo haliwezi kufutika ktk macho ya walio wengi. Na hii ina reflection kuhusu katiba ilivyofanyiwa mizengwe pamaoja na mambo kuhusu BVR nk. Taifa limeachwa ktk hali mbaya na huyu mkulu, kiasi kwamba huu UFA kuuziba utahitaji mtaji mkubwa wa watu wenye busara.
NOTE: CCM wakikosea wakachakachua matokeo ya uchaguzi (ubunge, madiwani na rais) basi wajue Taifa litaingie kataika vurugu ya hatari kabisa.