Nimeamini CCM inang'ooka! Sasa asiyeamini kuwa CCM inang'ooka Oktoba mwaka huu, akubali kwa uchungu!

Not_Yet_Uhuru

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,304
431
Wadau,

Tunakumbushiana tu ambayo tulishayasema!

Tunaanza na 'wahenga' wetu makini....

"Kama CCM isiposikiliza wanachosema wananchi, na wanayemtaka, 'wao' [wafanya maamuzi ya CCM] wakajifungia na kuamua wenyewe, huku wakisema 'sisi ndio wenyewe', CCM itashindwa" - Mwl Nyerere

"Kama CCM ikidharau wanachotaka wananchi na wanayempenda, kama alivyosema Baba wa Taifa Mwl Nyerere, na wakatuletea jina la mgombea ambalo sio wananchi wanalipenda, Mwl Nyerere alisema CCM itashindwa, ila mimi nasema tena CCM itaanguka" - Kingunge Ngombale Mwiru

Simuungi Mkono Lowassa au CCM hata kwa (-0%) ila tuongee ukweli tu hapa!!

Swali: Je, hayo maono na maonyo yaliyotolewa na hawa wahenga wakuu, na wengine lukuki, ndio dalili za Kinachoenda kuikumba CCM na ndio ishara za kitakachoifika CCM ifikapo Oktoba? CCM inapona?

Tupitie maonyo mengine ktk uzi uliorushwa awali ktk link iliyopo chini ili tuzione ishara za Babeli kudondoka!

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-huu-akubali-kwa-uchungu-2.html#post12827749
 
Kwa EL itakuwa vigumu kuikubali. Na hii ni kutokana na chenga ya mwili ya bwana mkulu. Nafikiri EL aliamini maneno ya mkulu, kuwa wewe achia ngazi kwani tuko pamoja. Sasa amegeukwa bila kufikiria mazuri aliyoyafanya ya kumuwezehsa mkulu kuwa madarakani. Hii inauma sana tena sana. Ni vigumu watu kuelewa kuwa EL ni mbaya kiasi hicho, kwani mbona mkulu alisha mnadi kuwa EL ni jembe, pia wamekuwa pamaoja kwa muda mrefu na bila kkumkalipia.
Kwa vyovyote itakavyo kuwa, CC ya CCM imejiweka doa ambalo haliwezi kufutika ktk macho ya walio wengi. Na hii ina reflection kuhusu katiba ilivyofanyiwa mizengwe pamaoja na mambo kuhusu BVR nk. Taifa limeachwa ktk hali mbaya na huyu mkulu, kiasi kwamba huu UFA kuuziba utahitaji mtaji mkubwa wa watu wenye busara.
NOTE: CCM wakikosea wakachakachua matokeo ya uchaguzi (ubunge, madiwani na rais) basi wajue Taifa litaingie kataika vurugu ya hatari kabisa.
 
Katika hali CCM iliyofikia ni kwamba kama wangemotisha Lowassa ingekuwa shida na hata sasa ambapo hawakumpitisha bado ni shida kwao. Anguko ni dhahiri.
 
Wadau,

Tunakumbushiana tu ambayo tulishayasema!

Tunaanza na 'wahenga' wetu makini....

"Kama CCM isiposikiliza wanachosema wananchi, na wanayemtaka, 'wao' [wafanya maamuzi ya CCM] wakajifungia na kuamua wenyewe, huku wakisema 'sisi ndio wenyewe', CCM itashindwa" - Mwl Nyerere

"Kama CCM ikidharau wanachotaka wananchi na wanayempenda, kama alivyosema Baba wa Taifa Mwl Nyerere, na wakatuletea jina la mgombea ambalo sio wananchi wanalipenda, Mwl Nyerere alisema CCM itashindwa, ila mimi nasema tena CCM itaanguka" - Kingunge Ngombale Mwiru

Simuungi Mkono Lowassa au CCM hata kwa (-0%) ila tuongee ukweli tu hapa!!

Swali: Je, hayo maono na maonyo yaliyotolewa na hawa wahenga wakuu, na wengine lukuki, ndio dalili za Kinachoenda kuikumba CCM na ndio ishara za kitakachoifika CCM ifikapo Oktoba? CCM inapona?

Tupitie maonyo mengine ktk uzi uliorushwa awali ktk link iliyopo chini ili tuzione ishara za Babeli kudondoka!

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-huu-akubali-kwa-uchungu-2.html#post12827749

Mnara wa Babeli umeangushwa na MUNGU.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom