Nimeambiwa tutaishi South Sudan baada ya ndoa

Habari za leo wapendwa,

Niliota na kuwaza siku nitakayosema 'I do', hayawi hayawi yamemkua, nimepata mchumba na ndoa ni baada ya Kwaresma. Tatizo ni kuwa huyu jamaa tumekutana Bongo akiwa anaishi Mbezi. Nilivyokuwa ninahesabu siku za kusogea kutoka huku kwetu Kwamtogole niende Mbezi.

Sasa bwana usiku wa jana, jamaa ananifahamisha kuwa amepata kazi South Sudan, ndoa ninaitamani lakini kwenda kuishi Sudan ni kitu ambacho sijawahi kukiwaza. Ninachance ya kughairi kabla sijasema 'I do'. Nikishakuwa mke sitakuwa na maamuzi tena.

Ushauri tafadhali.
Shida iko wapi kama mnapendana?
 
Kila siku washauri wanasema katika mahusiano ni muhimu kujua ikiwa mnafunga ndoa mhadili mtaishi wapi mapema kuepuka migogoro ona sasa.kama huwezi kwenda huko kua muwazi tu mapema ili achukue maamuz take.
 
Watu tuko na wapenzi wetu kwenye battle grounds huku katikati ya jiji la Baghdad na maisha yanasonga sembuse south sudan!
 
4 Yesu akajibu, “Hakika mmesoma hili katika Maandiko: Mungu alipoumba ulimwengu, ‘aliumba watu wa jinsi ya kiume na wa jinsi ya kike.’1 \v 5 Na Mungu alisema, ‘Hii ndiyo sababu mwanaume atawaacha baba na mama yake na kuungana na mke wake. Na hao watu wawili watakuwa mmoja.’2 \v 6 Hivyo wao si wawili tena, bali mmoja. Ni Mungu aliowaunganisha pamoja, hivyo mtu ye yote asiwatenganishe.” (Math 19:4-6)
 
"Love doesn't ask why"
Nakushauri jiulize Kama kweli unampenda au unapenda harusi tu.

Sikiliza wimbo wa Whitney Huston unaitwa ''my love is your love" anasema hata kukiwa Na vita ya tatu ya Dunia ikasababisha maafa Na njaa Ni sawa as long as yupo pembeni yako
 
Back
Top Bottom