Nimeambiwa nirithi mke wa kakaangu

Sioni tatizo kama shemeji yako naye ataridhia, kibaya kumlazimisha
 
Watu mna zali.eti shemeji kanona.ofcourse msitiri shemejiyo mwanangu maana huku nje full mafisi yataishia kumchezea tu na kuharb life la mtoto
 
Kwanza mpime afya nasikuzote kuna kitu cha hivi unalazimishwa kufanya kitu nasio ridhaa yako na wewe umekubali no problem tatizo lingekuja kama umekubaliana nao hapo ndio ilikuwa shughuli .
mengine yafuate kama nyie wote mmekubaliana.
 
Je watoto wakizaliwa ni wa kaka yako ana wako?
 
Huku kwetu kuna mmoja alirithi mke wa kaka yake. Kilichotokea ni huyo mke kufa akiambatana na watoto wake wawili na jamaa tumemzika mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…