Nimeachwa tena

virginity

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
902
Reaction score
985
Jumamosi ya 27/8 nilihudhuria harusi ambayo nilianza kuiombea ruhusa wiki moja kabla, kabla ya kutoka mwenzangu alinijulisha kwamba Hana funguo hivyo badae tuwasiliane ili nimpatie.

Ukumbi haukua mbali sana na nyumbani tunapoishi.

Kwenye mida ya saa5 alinipigia akitaka nimpelekee funguo, nilimuomba aziijie kwani ckuwa na nauli ya ziada na najua acngenipatia, kumbe mwenzangu alitaka nirudi nyumbani mda uleule na kiukweli niligoma nikimwambia hata kula sikua nimekula hivyo kwavile Kuna rafiki yake alikua mwanakamati aje tujumuike pamoja kwani kama ni vinywaji vilikuepo.

Chaajabu nikwamba mwenzangu alikasirika sana kwamimi kutokurudi nae
Mimi pia nilipata fazaa kwayy kukataa kunisubiria turudi wote kwani ukiachana na sherehe hiyo mwenzangu c mtu anaependa kutoka namimi na siku ile nilitamani angalau abaki namm turudi wote nyumbani.

Baada ya kufika nyumbani Basi alinipigia cm akinitaka nilale hukohuko! Nilizani ni hasira lkn nilivyorudi alikua amenifungia kweli
Niliondoka nikaenda kulala kwa rafki yangu. Asubuhi nilirudi nikiwa na rafiki yangu huyo ili athibitishe nililala kwake.

Cha ajabu hakufungua mlango, tuligonga kwa masaa2 huku nikipiga cm yake Ila hakupokea. Nilipita dirishani kwake napo hakutaka kufungua.

Basi niliamua kuondoka Tena na kurudi kujihifazi kwa rafki angu huku nikisubiri asira zake zipungue anipigie.
Ilipita Tena siku nikimpigia hapokei na nikitumia namba yangu nyingine akijua nimm anakata
.
J3 nilienda Tena ambapo alifungua lkn baada ya kuingia aliniuliza nataka nini?

Nilimjibu tu kistaarabu nataka baazi ya nguo kwajili ya mtoto (ckupenda reaction yake ikabidi nikapumzike hm) kweli nilichukua nikaondoka kuja kwetu kwa mda

Baada ya wiki2 nimempigia kumjulisha kwamba narudi lkn amegoma nisirudi na ametaka nikamalizie kilicho changu niondoke


Tunamiaka 4 sasa kiukweli bado nilikua namuitaji lkn kuniacha gafla hivyo najickia vbaya sana.

Wanaume na wanawake wenzangu naomba mniambie kosa langu hasa lilikua lipi na je naweza kutatua vip hii changamoto?

Naomba muusamehe muandiko wangu.
 
Alikuwa na lake jambo, sijaona hoja hapo ya kuachana.
 
Hivi mnaolewaga na wanaume wa aina gan?.

Anyway, kwakua unamjua mtu wako, ulitakiwa kumpelekea ufunguo.


Kwakua Mtu yako, ni MWANAUME DHAIFU LENYE WIVU NA KERO ZISIZO MAANA basi hata kuja na rafiki yako wa kike, hakuwez kumuaminisha kua umelala Kwa rafikio maana alihisi umempanga tu .

Una Mikono?

Una miguu??

Una Akili??

Embu achaneni na kasumba ya kumtegemea Mwanaume, wanaume wa Sasa ni wapo Machoko na wakila aina..


Nyinyi Wanawake pambaneni kujikombia kiuchumi, ili yasiwatese , muwe mnaamua wenyewe kuyaacha ,mkiyaacha, yanajinyonga ,tunayazika ,yanasahaulika.


Poleeee, pamoja nakwamba umezaa,. Shukru Kwa Yote, usitafute kujirudi, wee bado mrembooooooo , Katoto Kako kamoja ndo kakupe shida??? Na unakwenu??

Embu achana nahiyo mbwaaa, Wala isikupanikisheeeee!!.
 
Tatzo lenu mnataka 50/50 unaambiwa rud nyumban unakaid labda jamaa alikuwa anataka kuchakata ukamlaza wima km watchman unajua shida anayopata mwanaume ikiwa anataka kuchakata na akakosa mbususu tena kisa sherehe kwendraaa amna namna
 
Mtu akikuchoka atatafta sababu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…