ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
nimeachwa na mpenzi wangu niliyempenda toka tukiwa wadogo naumia sana.
Utaniacha???Pole mwaya hakuwa chaguo lako tafuta mwingine huyo achana naye kabisa na wala usimfikiri mawazoni mwako wewe songa mbele na dhidi kumwomba mungu kwani mke/mume mwema hutoka kwa bwana
Utaniacha???
Mpenzi wangu kaniacha bila sababu ya maana kisa anataka ku struggle na life yeye mwenyewe nimembembeleza lakini hanitaki tena naumia sana.
Kaniacha ananiambia anataka a struggle na life mwenyewe nimemwambia si tu struggle wote kakataa kaniacha , i still love Her , Bado nampenda sana na namwitaji kwenye maisha yangu.(tunaumbali ila hatujaonana karibia mwaka mmoja sasa yeye yupo shule)