Nimeachwa na mpenzi wangu

pole sana mkuu, haya mapenzi dah we acha tu. Hata mm nilikuwa n mpenzi nilimpenda sana nikiamini nitakuja muoa siku

moja, akaja kunisaliti bila ya mm kutegemea. Niliumia sana, but maisha yanaendelea, piga moyo konde.

kama amekuacha kiroho safi ww endelea na maisha yako, ni vyema ameamua kukuacha kuliko angekusaliti, ingekuumiza

sana.

pole mkuu
 

Asante Bro Dah!!
 
Aaaaah........sasa usituchoshe........hii thread ya ngapi unafungua kuwa umeachwa........wewe sio wa kwanza bana.........

sijaona mantiki ya comment yako,uliona heading ungepita tu bila kufungua,usingeingia gharama yoyote!
 
may be hiyo life struggle imetokana na uvivu wa kupitiliza ulionao. years back mie nilimwacha mpenzi wangu aliyekuwa mvivu sana, alikuwa akiona kitanda au kochi anafurahi maana alipenda kulala sana. niliona future yetu itakuwa ya ku-struggle tu, and guess what hadi leo hii hana hata kichumba cha kupanga, anakaa kwa ndugu huyu mara yule!
 
Hakuna mapenzi ya udogoni mlikuwa mnapita stage ya ukuwaji tu. kama wewe ni Me tafuta pesa tu ndio jambo la muhinu mengine yatajiseti yenyewe mbele kwa mbele.

Akitafuta pesa atampata miss chagga fastaaaaaa
 

Mkuu kwa maelezo haya kuna kitu umefanya kwa kumkosea ndio maana kafanya hayo maamuzi...
 
''niliyempenda toka tukiwa wadogo naumia sana''

Mapenzi ya mazoea hayo, ndio mwisho wake huo............
 
Pole sana Mungu kakuepusha na mengi
 
yani m mtu akiwa analalamika oh nimeachwa sasa ulitakaje usipoachwa utajifunzaje,kuwa kifikra ww sio kulalamika.mwenye mapenzi ya milele n Mwenyezi Mungu pk yake wengne wanakusogeza tu.
 
pole kaka, kiukweli wewe si wakwanza na wala hautakuwa wa mwisho kuachwa...but kuna vitu lazima uvifanye ili uweze kuondokana na hali hiyo kwa haraka:
1. Amini kuwa wewe ni wa thamani na hivyo hustahili kuendelea kuchafuka.
2. Amini una nafasi ya kufurahi zaidi katika mapenzi kuliko ambavyo umekuwa na huyo dem wako.
3. Thamani yako itapanda zaidi kama kila unapomkumbuka ndiyo inakuwa chachu kwako kuongeza juhudi katika kazi uongeze kipato , kumbuka ukiwa vizuri kifedha unaongeza nafasi ya kuchagua na kupata mwanamke mzuri kadri upendavyo.
4. Mara zote katika maisha yako usijiamini sana kuwa kitu kibaya hakiwezi kukutokea hii itakusaidia kikitokea inkua rahisi kukizoea kuliko hali ilivyo kwako sasa hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…