Nimeachwa na mpenzi wangu

Hongera sana mkuu.kuachwa na demu ni fursa.sijawahi umia hata mara moja nikiachwa.maana kila siku wanazaliwa wapya kabisa.sema kama wewe ni domo zege itakuwa maumivu makali hayo
 
Mbona ulikuwa bado single.
Kwani kuwa na girlfriend unakuwa double?
 
Kuachwa kuachwa mbaya zaidi........! kwa yule unayempenda yeye ananenepa wewe unakonda.....!
 
Hahahaaaa!halafu wanawake tunaongoza kuacha

Wanaume hawasemagi wanakuchapa tu matukiooo...mpk unakipa mwenyeweee!!!
 
pia umelala single polee
don't trust a woman who is not your mom.
Mkuu umeongea ukwelii sanaa tuu never trust a human especially anapotambua unampenda anakufanyia matusi sanaa
_ Always self love is key_
 
Nawaza tu wangapi wamekuja PM baada ya hii message
 
mmh we Demiss nahisi sitakuweza. huwa nakujuchukulia kama danga fulani hivi. yaan tayari nimejijengea fikra kua ww ni jimama jeupe unavaa vikuku mguuni. nahisi sitakuweza[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama akendelea kukushobokea kwa jiwe hili basi kashindikana. Atakuwa jimama lililojichubua hadi ngozi inamabakamabaka, halafu lina mdomo hatari..
 
Hhahahahhaha wee njoo utaleta mrejesho
mmh we Demiss nahisi sitakuweza. huwa nakujuchukulia kama danga fulani hivi. yaan tayari nimejijengea fikra kua ww ni jimama jeupe unavaa vikuku mguuni. nahisi sitakuweza[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahahha usinizibie ridhiki mfyuuuu
Kama akendelea kukushobokea kwa jiwe hili basi kashindikana. Atakuwa jimama lililojichubua hadi ngozi inamabakamabaka, halafu lina mdomo hatari..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…