milionea wa kesho
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 328
- 633
huko kesho mbali sana mkuu, LEO UNALALA UKIWA SINGLE.kesho naamka nikiwa singo. yote maisha
Acha uree eb tafuta mama kali hapo kitaa uimbishe, unatuaibisha wanaume.muda huu napost hapa nimeachwa na aliyekua girlfriend wangu tuliyedumu kwenye mahusiano zaidi ya mwaka sasa.
Ningejua ningelala mapema tu huenda nisingeachwa usiku huu.
kisa cha kuniacha ni haya mapenzi ya umbali mrefu yaani long distance relationship. sasa nadhani huko amepata kijana anamtreat vizuri basi mm nikasahaulika. Hatujagombana wala nini ila ameamua kuniacha eti anaona hana chembe chembe tena za mapenzi.
nimeumia kidogo......nishaachwa mara nyingi kwa hyo nishazoea maumivu ya kuachwa ndio maana sijaumia sana.
kesho naamka nikiwa singo. yote maisha
Njoo kwangu tuanzishe maisha nipo single miezi 4 . Napenda sana mapenzi ya mbali nakuwa freee
mmh we Demiss nahisi sitakuweza. huwa nakujuchukulia kama danga fulani hivi. yaan tayari nimejijengea fikra kua ww ni jimama jeupe unavaa vikuku mguuni. nahisi sitakuweza[emoji23][emoji23][emoji23]Njoo kwangu tuanzishe maisha nipo single miezi 4 . Napenda sana mapenzi ya mbali nakuwa freee
pia umelala single polee
don't trust a woman who is not your mom.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah!muda huu napost hapa nimeachwa na aliyekua girlfriend wangu tuliyedumu kwenye mahusiano zaidi ya mwaka sasa.
Ningejua ningelala mapema tu huenda nisingeachwa usiku huu.
kisa cha kuniacha ni haya mapenzi ya umbali mrefu yaani long distance relationship. sasa nadhani huko amepata kijana anamtreat vizuri basi mm nikasahaulika. Hatujagombana wala nini ila ameamua kuniacha eti anaona hana chembe chembe tena za mapenzi.
nimeumia kidogo......nishaachwa mara nyingi kwa hyo nishazoea maumivu ya kuachwa ndio maana sijaumia sana.
kesho naamka nikiwa singo. yote maisha
Demu mpaka anakuacha hv hv bhs una kasoro mkuu
Acha uree eb tafuta mama kali hapo kitaa uimbishe, unatuaibisha wanaume.
Pole sana kuachwa sio poa , sie wenye roho ndogo pressure hushuka ghafla,muda huu napost hapa nimeachwa na aliyekua girlfriend wangu tuliyedumu kwenye mahusiano zaidi ya mwaka sasa.
Ningejua ningelala mapema tu huenda nisingeachwa usiku huu.
kisa cha kuniacha ni haya mapenzi ya umbali mrefu yaani long distance relationship. sasa nadhani huko amepata kijana anamtreat vizuri basi mm nikasahaulika. Hatujagombana wala nini ila ameamua kuniacha eti anaona hana chembe chembe tena za mapenzi.
nimeumia kidogo......nishaachwa mara nyingi kwa hyo nishazoea maumivu ya kuachwa ndio maana sijaumia sana.
kesho naamka nikiwa singo. yote maisha
Chukua katoto kazurimmh we Demiss nahisi sitakuweza. huwa nakujuchukulia kama danga fulani hivi. yaan tayari nimejijengea fikra kua ww ni jimama jeupe unavaa vikuku mguuni. nahisi sitakuweza[emoji23][emoji23][emoji23]
Eineth,Pole sana kuachwa sio poa , sie wenye roho ndogo pressure hushuka ghafla,
Asante!!Eineth,
Karibu JF.