Eng. Smasher
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 745
- 23
Mambo vipi wana JF!
Ngoja niwashirikishe kwenye hii issue iliyonikuta leo mornie wakati naelekea kwenye kibarua.
Nilikuwa nimekaa kwenye seat yangu fresh mara akaingia mdada amebeba mtoto mgongoni hata simfahamu akawa kakosa seat akaomba msaada kwangu nimsaidie kumshikia mtoto.
Nikawa nimembeba huyo malaika wa Mungu huku nakibembeleza kimevishwa vizuri kabisa kitoto cha kiume.
Time ya kushuka kwa stand tafuta yule dada haonekani,uliza kila abiria mwenye mtoto achukue mwanae hakuna kila mtu ananiangalia 2.
Ikabidi 2peleke gari police na abiria wote taratibu zote zikafuatwa ndo kwanza nime2lia.
Pls dadaz acheni kutelekeza watoto!!
hongera sana kwa hiyo umejipatia mtoto bila kumtolea jasho
Mmefanya vyema kwenda police labda huoyo dada aliona hana uwezo wa kutunza mtoto ni vema amuache katika mikono salama
Lakini una wife ?asije akakugeuzia kibao mheshimiwa
Police tumetoa maelezo mimi na abiria kama 4 hivi ikabidi mtoto achukuliwe apelekwe hospital achekiwe kwanza and then apelekwe sehemu husika coz mi mwenyewe cna mke ntamlea vipi.Pole sana,kwa hiyo mlipofika police ilikuwaje?
Police tumetoa maelezo mimi na abiria kama 4 hivi ikabidi mtoto achukuliwe apelekwe hospital achekiwe kwanza and then apelekwe sehemu husika coz mi mwenyewe cna mke ntamlea vipi.
kama unaweza naomba uwe unafuatilia kujua maendeleo ya huyo mtoto,kama atapelekwa sehemu za kulelea yatima basi uombe upajue uwe unamembelea na kumpelekea chochote huwezi jua kwa nini Mungu kapenda aachwe mikononi mwako.
Bora dada kafanya hivyo kuliko angetoa mimba au angemnyonga mtoto wake kama wanavyofanya wengine.
mambo vipi wana jf!
ngoja niwashirikishe kwenye hii issue iliyonikuta leo mornie wakati naelekea kwenye kibarua.
nilikuwa nimekaa kwenye seat yangu fresh mara akaingia mdada amebeba mtoto mgongoni hata simfahamu akawa kakosa seat akaomba msaada kwangu nimsaidie kumshikia mtoto.
nikawa nimembeba huyo malaika wa mungu huku nakibembeleza kimevishwa vizuri kabisa kitoto cha kiume.
time ya kushuka kwa stand tafuta yule dada haonekani,uliza kila abiria mwenye mtoto achukue mwanae hakuna kila mtu ananiangalia 2.
ikabidi 2peleke gari police na abiria wote taratibu zote zikafuatwa ndo kwanza nime2lia.
pls dadaz acheni kutelekeza watoto!!
binadam tumeumbwa na roho dhaifu wallah!!!!maskini mtoto...
ninakuona kama jini kwa jinsi ulivyotokea kwenye avatar yako na hiyo lafudhi yako ya kiarabu. Hakika umeumbwa ukaumbika
haa mi jini kwanini??
eti kwa ajili ya avatar, sasa muulize wapi alikoona/alikosoma kuwa jini ni mweupe na lafudhi yao ni kiarab?