Nimeachiwa Mtoto Ndani ya Daladala!!!!!!

Eng. Smasher

JF-Expert Member
Nov 13, 2010
745
23
Mambo vipi wana JF!
Ngoja niwashirikishe kwenye hii issue iliyonikuta leo mornie wakati naelekea kwenye kibarua.
Nilikuwa nimekaa kwenye seat yangu fresh mara akaingia mdada amebeba mtoto mgongoni hata simfahamu akawa kakosa seat akaomba msaada kwangu nimsaidie kumshikia mtoto.
Nikawa nimembeba huyo malaika wa Mungu huku nakibembeleza kimevishwa vizuri kabisa kitoto cha kiume.
Time ya kushuka kwa stand tafuta yule dada haonekani,uliza kila abiria mwenye mtoto achukue mwanae hakuna kila mtu ananiangalia 2.
Ikabidi 2peleke gari police na abiria wote taratibu zote zikafuatwa ndo kwanza nime2lia.
Pls dadaz acheni kutelekeza watoto!!
 
sio kuwa ulipiga kazi ukamkana mtoto ,then bibie kakuwinda leo akawa amekupata, nakutania kaka pole kwa yaliyokukuta, sasa hivi cmsaidii mtu mtoto akipanda gari limejaa atasimama nae hadi akome
 
hongera sana kwa hiyo umejipatia mtoto bila kumtolea jasho
Mmefanya vyema kwenda police labda huoyo dada aliona hana uwezo wa kutunza mtoto ni vema amuache katika mikono salama
Lakini una wife ?asije akakugeuzia kibao mheshimiwa
 
Thanks but baby tumemwacha katika mikono salama. Sina wife dats y nimeona itakuwa shida kumpa nids zote anazohitaji.
 
Yaani wanawake wengine bwana mimi wananiudhi sana yaani wewe ubebe mimba miezi tisa uzae, umtunze mpaka hapo alipo then unamwacha kwa mtu hata humfahamu? Jamani labda kuna wengine huwa wanazaa bila uchungu, maana mie mwanangu akikohoa kidogo tu na mie roho juu ije nimuache? Tafadhali!!! Akkhh pole sana lakini hujatuambia huko police imekuwaje wamekupatia mtoto au umemwacha hapo?
 
Pole sana,kwa hiyo mlipofika police ilikuwaje?
Police tumetoa maelezo mimi na abiria kama 4 hivi ikabidi mtoto achukuliwe apelekwe hospital achekiwe kwanza and then apelekwe sehemu husika coz mi mwenyewe cna mke ntamlea vipi.
 
Police tumetoa maelezo mimi na abiria kama 4 hivi ikabidi mtoto achukuliwe apelekwe hospital achekiwe kwanza and then apelekwe sehemu husika coz mi mwenyewe cna mke ntamlea vipi.

kama unaweza naomba uwe unafuatilia kujua maendeleo ya huyo mtoto,kama atapelekwa sehemu za kulelea yatima basi uombe upajue uwe unamembelea na kumpelekea chochote huwezi jua kwa nini Mungu kapenda aachwe mikononi mwako.
Bora dada kafanya hivyo kuliko angetoa mimba au angemnyonga mtoto wake kama wanavyofanya wengine.
 
Duh ............

Hapo jamani wasiokuwa na watoto ndo chance hiyo, kaombeni awe wenu.
 
kama unaweza naomba uwe unafuatilia kujua maendeleo ya huyo mtoto,kama atapelekwa sehemu za kulelea yatima basi uombe upajue uwe unamembelea na kumpelekea chochote huwezi jua kwa nini Mungu kapenda aachwe mikononi mwako.
Bora dada kafanya hivyo kuliko angetoa mimba au angemnyonga mtoto wake kama wanavyofanya wengine.

Thanks i will du that coz I like babyz.
 
Lazima ulisha wahi kumkanyaga huyo kimwana.
mambo vipi wana jf!
ngoja niwashirikishe kwenye hii issue iliyonikuta leo mornie wakati naelekea kwenye kibarua.
nilikuwa nimekaa kwenye seat yangu fresh mara akaingia mdada amebeba mtoto mgongoni hata simfahamu akawa kakosa seat akaomba msaada kwangu nimsaidie kumshikia mtoto.
nikawa nimembeba huyo malaika wa mungu huku nakibembeleza kimevishwa vizuri kabisa kitoto cha kiume.
time ya kushuka kwa stand tafuta yule dada haonekani,uliza kila abiria mwenye mtoto achukue mwanae hakuna kila mtu ananiangalia 2.
ikabidi 2peleke gari police na abiria wote taratibu zote zikafuatwa ndo kwanza nime2lia.
pls dadaz acheni kutelekeza watoto!!
 
ata sijui wapi wallah mana atakua na mushkel kidogo mana nishawaambia sikubandika picha ya mtu ni mimi binafsi lakini bado anishitumu kuwa mimi ni jini ...lakini maa mushkel hakun tabu,,,
eti kwa ajili ya avatar, sasa muulize wapi alikoona/alikosoma kuwa jini ni mweupe na lafudhi yao ni kiarab?
 
Story imenikumbusha yule dogo aliyetupwa na mam yake Mwananyamala .Alipata msamria mapaka sasa nadhani yuko uholanzi. kuna kipindi alirudi bongo kwa nia ya kumtafuta na kumjua mam yake mzazi

kina mama kibao walijitokeza. Teh teh teh.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom