Nimeacha na ninakwepa sana kwenda nyumbani kwa Mjomba wangu kuepusha Matatizo ya Kifamilia

Umri wako Tena Kaundugu si kwamba hamjui tangu kuzaliw alafu unamtolea mate ki ngono mkuu
 
Uncle alifanikiwa kuoa mke mzuri akamzalia kitoto kizuri cha kike miaka ya nyuma kilikuwa kidogo tu nimekizidi miaka 20 imagine chenyewe ndio kinazaliwa.

Leo hii kimefikisha miaka 22 kimeiva, hips zimechomoka, shavu dodo, kiuno nyigu Ngozi kama imepigwa msasa laini. Yaani ni hatari nimejikuta napata majaribu mengi sana kwa kweli.

Mtoto amekua na anafaa kabisa kuliwa na yeye ananiona mimi bonge la bro...umarekani marekani mwingi sana. Namcheckii halafu nasema "Hiiiiiiiiiiiiiiiiii" bhaghosha....kwa kweli Muumba aingilie kati tu.

Basi ili nisisababishe matatizo ya kifamilia nimeamua kukata mguu kabisa kwa Mjomba maana sasa kame graduate ndio kabisa kapo home. Nikienda hivi mpaka kanasema "bro unaniangalia mpaka nashindwa tembea" basi hapo nacheka cheka tu kama fala.

Niliona sababu mimi ni mtu mzima najielewa, nina akili, busara, hekima na elimu ya juu basi niamue jambo la busara siendi kwa uncle hata iweje nmekuwa nikigoma kabisa kwenda maana naona tutatafutiana lawama tu siku za usoni.

Nawashauri vijana ukiona kama kuna jambo linakuvutia ila si sahihi likwepe mimi sitokanyaga tena kwa mjomba labda yule binti akiondoka.
Miaka 42 bado hujaoa tu? Na kwa Mjomba wako unaenda mara kwa mara kufanya nini? CCM imeharibu sana vijana, acha upumbavu ondoka kwa Mjomba ukajitegemee.
 
Kwa mawazo ya mtoa mada sishangai kitandani hata binti zake m. Mimi sijatoka familia ya laana tafadhali wewe kama baba ako analala na dada zako na wewe na na mama ako na mawazo yote ni kuwa za ngono na wana familia mrudie Mungu Coz it will pass to four generations. All the best
Wewe si ndo inajulikana ulizaa na baba yako? Au unadhani tumesahau?
 
Miaka 42 bado hujaoa tu? Na kwa Mjomba wako unaenda mara kwa mara kufanya nini? CCM imeharibu sana vijana, acha upumbavu ondoka kwa Mjomba ukajitegemee.
We sijui mtihani wako wa darasa la saba ulifanyaje maana si kwa upumbavu ulio nao kichwani. Yaani kiswahili chepesi hiki nacho umeshindwa elewa? 😳😳😳😜😜😜😜😜😜😜😜
 
Uzee ni kuanzia miaka 40. Huyu aliyeandika haya kwa lugha nyepesi anaitwa babu, sawaeee babuuuu.
Mytake, Usiogope umri wa mtu, kwani hata wajinga wanazeeka.
 
Samahan mzee kwan huyo mjomba wako yupo mkoa gani...?
Kama hutojali naomba na mawasiliano ya huyo mwana wa mjomba wako, mnamazungumzonae ya muhimu sana kwa mustakabali wa maisha yake💍🚮
🚶🚶🚶
 
Miaka zaidi ya 40, siyo tu kuandika hata kufikiria kitu kama hicho umri wake hauruhusu. Yaani angezaa akiwa na miaka 20, huyo ni mtoto wake wa kuzaa.
Kwani Profesa Kapuya kampita miaka mingapi kale kamke kake.. 'na huyu aliyekuwa juzi juzi juzi!!?? Mengi alimpita mingapi Klyn !!??
 
Inasikitisha sana kuona mtu kama wewe tena mwanafamilia unawaza ujinga kama huo juu ya mdogo wako ambae ni damu yako kabisaa

Hapa wamama tupate funzo, ukishakua na mabinti nyumbani hawa wageni wengine sio wakuwachekea, ni kuwapiga pini tu

Hadi Anko wa 42 years, unajua hata kumuhisi tu utaona kam umetenda dhambi
 
Ila wakuu kule kwa malkia si ni ruksa?, labda mwamba anatembelea doctrine ya common wealthcountry

Ila hii hasira ya JF ikienda huko mtaani hatutazishuhufia kesi kama ile ya Babu Seya.

Mitaani huko hasa Dar es Salaam kuna watu wanaishi kinyumba na watoto wao, sio mabinamu A, A!!. Watoto wao wakuwazaa ila jamii imekaa kimya kama vile haina wana JF

Wana JF tuweni active member huko mitaani, hii habari ya nyuma ya keyboard tuiache kidogo.

Utakuta mtu anauponda ushoga hapa ila mtaani kwake wapo hata 10 ila amefunga mdomo kama mtoto wa chekechea ila sasa hapa JF ata comment "mimi shoga napiga risasi akafie mbele" ila sasa huko mtaani hata kusema tu mtaa utunge sheria ndogo "mashoga wachapwe viboko" hawezi
 
Kiumbe kikishaitwa ndugu yangu sijui huwa nakionaje tu! Huwa naona Kama vile kitu cha kawaida sana hata awe ameumbika lkn huwa naona Kama huyu ndugu nae vipi..😂 ila utakuta vimtu vya mtaani vinamuona bonge la Toto lkn mi naona mbute tu..🤣

Ndugu nisameheni kwa maneno yangu makali lkn heri hivi navyowaona tu hata Kama ni pisi Kali lkn ukiwa ndugu tu nakuona Kama wale wamama wanenewanene..🤣
 
Back
Top Bottom