Nimeacha kusali kwa Muda, Sina namna

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
7,515
6,489
Mimi ni mkristo kindakindaki kanisa kwa kifupi KKKT. Liturgia letu lina sehemu ya kuombea viongozi wa kitaifa/kijamiii. Sasa kwa utaratibu huo kuna kiongozi huwa anatajwa kuombewa ambaye ano roho mbaya balaa kiasi ya kwamba nishindwa kushiriki kipande hicho. Kwa kweli napata taaabu sana. Na kwa bahati mbaya nipo dayosisi inayoongozwa na Askofu purpet wa chama sheitwani kisiasa. Imenibidi nikae kando.

Lakini tabu ni kuwa imani yangu inanielekeza kuwa Kristo alikuja kwa ajili ya wenye dhambi na si watakatifu. Kwa kweli NAPATA TAABU SANA
 
Dini mlizoletewa mkaingia kichwakichwa zakawaondolea na uwezo wa kutafakari mambo kamuulize babu au bibi yako urudi katika dini ya kabila lako achana na wazungu watapeli hao
 
Kwan mkuu ukimuombea aondokane hyo roho mbaya uisemayo, unapungukiwa nini? nakama kweli ni mkristo Bwna Yesu anasema wapendeni adui zenu, waombeeni mema wale wale wanao walaan ninyi, tena biblia inasema kisasi ni juu yangu, mimi nitalipa, asema Bwna, usiache ibada ndugu. ipishe ghadhabu ya Mungu
 
Mimi ni mkristo kindakindaki kanisa kwa kifupi KKKT. Liturgia letu lina sehemu ya kuombea viongozi wa kitaifa/kijamiii. Sasa kwa utaratibu huo kuna kiongozi huwa anatajwa kuombewa ambaye ano roho mbaya balaa kiasi ya kwamba nishindwa kushiriki kipande hicho. Kwa kweli napata taaabu sana. Na kwa bahati mbaya nipo dayosisi inayoongozwa na Askofu purpet wa chama sheitwani kisiasa. Imenibidi nikae kando.

Lakini tabu ni kuwa imani yangu inanielekeza kuwa Kristo alikuja kwa ajili ya wenye dhambi na si watakatifu. Kwa kweli NAPATA TAABU SANA
Nani uyo mwenye roho mbaya
 
Mkuu kaa upumzike. Mungu hayupo. Usipoteze muda wako. Bora hata ukajitolee kwenye shule ya msingi iliyo jirani na wewe kuzibua choo.
 
Bibilia inatuagiza kuwapenda adui zetu. Utashindwa kwenda mbinguni sababu ya huyo kiongozi
 
Na Kweli unapata tabu sana, na utaendelea kupata tabu sana, Ila mie tukifika hiyo sehemu huwa sisikii kiongozi anasema nini, naweka headphone sikioni
 
Biblia inasema, Mpende adui yako na Waombeeni wanaowaudhi.

Kisasi ni cha Mungu.

Kumwombea huyo usiyempenda kunaweza kumbadilisha kwa Nguvu ya maombi..!
 
Mimi ni mkristo kindakindaki kanisa kwa kifupi KKKT. Liturgia letu lina sehemu ya kuombea viongozi wa kitaifa/kijamiii. Sasa kwa utaratibu huo kuna kiongozi huwa anatajwa kuombewa ambaye ano roho mbaya balaa kiasi ya kwamba nishindwa kushiriki kipande hicho. Kwa kweli napata taaabu sana. Na kwa bahati mbaya nipo dayosisi inayoongozwa na Askofu purpet wa chama sheitwani kisiasa. Imenibidi nikae kando.

Lakini tabu ni kuwa imani yangu inanielekeza kuwa Kristo alikuja kwa ajili ya wenye dhambi na si watakatifu. Kwa kweli NAPATA TAABU SANA
Wewe ni mpagani namba moja.Hatuendi kuombea watakatifu wala mashetani. Tunaenda kuabudu na kusifu Mungu kwa yote .
 
Shida huja baada!! Too much is harmful, katika maisha jua namna ya kubalance mambo we umeingia kwenye dini HUIJUI, na unauelewa tyu na yale yanayofanyika siku ya ibada pekee hakuna mengine tofauti na hayo unsyoyajua ni lazima upate taabu sana!! Ukitaka kumtumikia Mungu vema ielewe hiyo njia unayoitumia kumtafuta kwanza (dini) hapo utaishi kwa amani!! Lakini kupanda magari ya buguruni ukidhani utafika gongo la mboto kisa yanaelekea njia moja ni sawa na kuficha uchi mbele ya kipofu!! Kuwa makini!!
 
Wee ule mda wakuliombea taifa na viongozi wake wee toka nje lakini huko mbunguni siku ukiingia unaenda kuukizwa kwa nini ulifanya hivyo
Kuombea kuna maana pana sana, kama wewe ni mkrsto unapomuombea hata mwenye roho mbaya Mungu humbadilisha mtu huyo, angalia Stephano wakati anapigwa mawe hadi kufa aliwaombea wote, akiwemo sauli ambaye Yesu alimtokea na kumbadilisha kasome matendo 6-7utaona kazi ya Mungu ilivyokuu hata wewe unamapungufu inawezekana unayajua au huyajui ndo maana ya Upendo kuwapenda na kuwaombea maadui na marafiki zetu Amina.
 
Mkuu kaa upumzike. Mungu hayupo. Usipoteze muda wako. Bora hata ukajitolee kwenye shule ya msingi iliyo jirani na wewe kuzibua choo.
Naunga mkono hoja kama kashindwa kusali sasa akatoe sadaka ya kweli kwa kujitolea kwa wenye uhitaji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom