Wewe ni "glory hunter". Na Watanzania wengi wako hivyo, mnashabikia timu inayofanya vizuri na si mapenzi ya timu kama timu. Unadhani watu wanotoka Highbury Street huko London wanaweza kushabikia timu tofauti??? Hamia Man U.
Btw: Mimi chama langu ni Norwich City tangu enzi hizo nchi hii hatujui TV ni nini! Kabla hujauliza niliwajulia wapi; Norwich City walitembelea Tanzania (but I don't remember the year) baba yangu alinipeleka kuwaona wakicheza na Yanga. I got hooked to them todate, washuke wapande nipo nao tu.
Nilifikiri unaizungumzia Arsenal, kumbe unaizungumzia Marefa United. Hata mimi najua ina mafanikio sana, ndio klabu pekee yenye kusajili wachezaji na marefa pia.
Kuhusu Arsenal kutochukua vikombe miaka mingi, utakuwa unaumwa wazimu.
Chelsea walisubiri miaka 40
Manchester City miaka 35
Je washabiki wao wamekufa na hayo magonjwa?
Je ni Arsenal peke yake ndio haichukui? Vipi kuhusu West Ham, Everton n.k?
[6] Mashabiki wa Manchester United ni wakarimu,wapole na wenye kujua kuchambua soka.Sifa hizo zinanihakikishia kwamba nitapokelewa vizuri.
Nenda salama mkuu huzuiwi kurudi pale tutakapopata mafanikio maana tabia yako ndio hiyo
Duh Dark City nimewashuhudia mwenyewe.Nigongee Like basi.
Hizi Club za bongo yataka moyo kuzishabikia.
Hizi za akina Rage bastola ha ha ha ha utanisamehe sana.
Ukitoa Blackburn, Arsenal, Chelsea na Man U (hivi ni timu ngapi zimeshawahi kuchukua Premier League ?)
[2] Imeshindwa kutwaa kikombe chochote kwa muda mrefu sana.
[3] Arsenal imekuwa gulio la kuuza wachezaji wake mahiri kwa Club nyingine
Players, Managers come and go but fans stay forever..[1] Manchester United inaongozwa na manager mwenye mafanikio makubwa kuliko makocha wote wa UK.
Spending Power ya Manchester na Investment lazima utegemee makombe kila mara ila bado wana-underperform hususan kwenye Champions League, return ya investment yao ni duni.[4] Ukiishabikia Mancheter United uwezekano wa kupatwa na magonjwa ya moyo na kisukari ni mdogo sana.Kila wakati una kuwa ni mtu wa kucheka na kufurahia maisha duniani.
Hata Arsenal iliweka historia ya kwenda all season unbeaten na Liverpool imechukua makombe Champions League kuliko wengine England[5] Mwaka 1999 iliweka historia kwa kuchukua vikombe vitatu.Ubingwa wa ulaya.ubingwa wa Uk na Kombe la ligi.
Nadhani haujakaa UK na wala huwajui washabiki wa Manchester United "Hawa wanaitwa Glory Hunters" Yaani mwaka kesho timu kama chelsea ikifanya vyema kwa miaka mingi huenda wakaamia Chelsea yaani ni wakimbiza mafanikio basi, washabiki wakarimu na wa kweli angalao Scousers (liverpool Fans)[6] Mashabiki wa Manchester United ni wakarimu,wapole na wenye kujua kuchambua soka.Sifa hizo zinanihakikishia kwamba nitapokelewa vizuri.
Ukitoa Blackburn, Arsenal, Chelsea na Man U (hivi ni timu ngapi zimeshawahi kuchukua Premier League ?)
Ni kweli mkuu ila hii ni kazi nzuri ya Wenger kutokutaka ku-break the Bank timu nyingine zote zinauwa Team zao kwa ku-overspend...
Players, Managers come and go but fans stay forever..
Spending Power ya Manchester na Investment lazima utegemee makombe kila mara ila bado wana-underperform hususan kwenye Champions League, return ya investment yao ni duni.
Hata Arsenal iliweka historia ya kwenda all season unbeaten na Liverpool imechukua makombe Champions League kuliko wengine England
Nadhani haujakaa UK na wala huwajui washabiki wa Manchester United "Hawa wanaitwa Glory Hunters" Yaani mwaka kesho timu kama chelsea ikifanya vyema kwa miaka mingi huenda wakaamia Chelsea yaani ni wakimbiza mafanikio basi, washabiki wakarimu na wa kweli angalao Scousers (liverpool Fans)