Nime-break up na mpenzi wangu...

Sifa za unaemtaka sasa zipoje?
 
Sifa za unaemtaka sasa zipoje?
Amechanganyikiwa sasa hata hana uhakika aamini lipi maana aliyekuwa amewekeza kwake alidhani BIBO kumbe BOGA!??? Tunawaambiaga deile anzieni kwa Mungu halafu kuweni faithful, mnasema tusiwapangie maisha yenu. Sasa mbona kuja huku tena jamani!??? Dunia na ulimwengu huu mzuri, ila wapangaji wake chacha!!!
 
Kuoga mara mbili[emoji849][emoji849] midume unaoga mara moja kwa siku inatosha
Wanao oga Mara Moja..hawana shida ..Sasa wewe kwapa linanuka vibaya ,jasho linatema balaa..

Kuoga mara mbili muhimu...
 
Hivi yulemfanya tafiti anaitwa Dr nani vile?
 
Mmeachana tu juzi leo tayari unataka dushe lingine!Wewe binti tafuta hela.Hakuna kitu kinachotesa kama umasikini wa kipato.Umasikini wa kipato ni baba wa jela zote!
 
Tuna picha yako sehemu za nyuma Tuangalie Tabia yako
 
Nicheck dm tuyajenge
 
Umemjaji sana mwenza wako, ungekua Mungu ungempa hukumu kali sana, ila mienendo ya binadamu sio kama ya Mungu, kwa ufupi hukumpenda tangu awali,

Pia kwanini usiyachukue mazuri yake na ukayakombatia zaidi kuliko kuyatazama mabaya yake kama kinyaa,

Wake up, nobody is perfect
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…