Nimdanganye vipi huyu KE ili nimtafune?

Nimdanganye vipi huyu KE ili nimtafune?

Afu uje na sredi ya kutafuta mke miaka ya mbele na kujiuliza ulifeli wapi.
 
mtambulishe kwa ndugu feki
toa mahari au kishika uchumba nusu cha uongo yaani feki
mpromise ndoa feki
igiza na kuwa mlokole feki
Igiza maisha kama ni slay queen igiza maisha feki Mimi nilitafuna radio presenter npo advance kwa hii stail feki akajua ni mtu Fulani mzto kwa kua sio slay queen Igiza low life hard worker lazima ataku admire

Igiza hobbie feki mfano unamuomba muende mkatembelee mkutano wa injili au mambo ya kijasiriamali unamualika

igiza uvaaji feki inategemea yukoje Kama ni sistaduu kuwa brazamen Kama ni mlokole vaa kilokole

lazima akuingizee akilini

niendelee hama nisiendelee
All that for what?

Uvulana shida sana.
 
Back
Top Bottom