Usimchumbie kwanza. Mchunguze usije ukawaolea wahuni... Bora wahuni wakunyooshee kimada kuliko mke nduguWadau kuna binti nakaribia kumchumbia, tatizo naskia skendo skendo sana kuhusu tabia zake kuwa ana wanaume kibao. Sasa nawaza nimchunguze kujua kama ni kweli ama nimchumbie tum
Uzur hata akirud tumpe ushauri tutampa tuu wala hatunaga bayaUkisha mchunguza Una uwezo wa kuamua vinginevyo?au utarudi hapa kutulilia tukupe ushauri huku ukweli unaujua??
Mtaka cha ufunguni shalti ainameWadau kuna binti nakaribia kumchumbia, tatizo naskia skendo skendo sana kuhusu tabia zake kuwa ana wanaume kibao. Sasa nawaza nimchunguze kujua kama ni kweli ama nimchumbie tum
We mchunguze tu, ni heri uufahamu huo ukweli wake, then ufanye maamuzi ukiwa unajuaWadau kuna binti nakaribia kumchumbia, tatizo naskia skendo skendo sana kuhusu tabia zake kuwa ana wanaume kibao. Sasa nawaza nimchunguze kujua kama ni kweli ama nimchumbie tum
Kama una uwezo wa kuyafanyia kazi matokea ya uchunguzi, mchunguze. Ila kama matokeo ya uchunguzi utamuachia Mungu, bora umuachie Mungu toka kwenye ngazi ya uchunguzi..!!Wadau kuna binti nakaribia kumchumbia, tatizo naskia skendo skendo sana kuhusu tabia zake kuwa ana wanaume kibao. Sasa nawaza nimchunguze kujua kama ni kweli ama nimchumbie tum
Utaja gundua ni mchafuHuyo bata ukimchunguza huli.