Nimchague yupi kati ya hawa

Kuna watu hawayapendi maisha yao nadhani...

tena bora hata ushauri wako uwe unautoa hapa kama anonymous kuliko kutoa ushauri wa kweli physical. hizi ndoa zinaharibu kabisa ubongo wa wanawake wengi kisa eti umri umekwenda ukimuuliza umri utasikia ana miaka 30!! sasa miaka 30 si ndio ujana wenyewe huo?
 
Hapo wote ziro tu, cjaona mume apo tulia atakuja Ulopangiwa na Mungu
 
Nimeipenda hiyo kama ukimpenda hata Kabila badili!
 

Na it seems huyo mtu yeye ni Mr.Perfect! he always kama sio often thinks tht he is right in whatever he does, usitake kuniambia ktk wote hao wanne hakuwepo amby wangeweza kustrt up a family HE IS TOO PICKY and stil small minded kwa kujifikiria yeye tu na sio athari watoto wake wanazipata so far kwa kubadilishiwa mummies
 
Ila sisi wa Tz tuna mambo ya kuchekesha sana mda mwingine, leo hii huyu bishost anaomba ushauri wa kuchaguliwa mchumba humu JF, but wazazi wake wangemchagulia mtu wa kumuoa angelalamika tena na kuja kuomba ushauri humu JF kuwa wazazi wake wanaingilia uhuru wake wa kumchagua nani wa kuishi nae, so hapa mi napata mushikiri kidogo, any way sina cha kumwambia zaidi aheshimu uhuru wake wa kuchugua nani ampendae kwa dhati ili uko mbele mambo yasije haribika na kutafuta mchawi ni nani.
 
Hamna anayeweza kujichafua mwenyew.huyo wa kwanz anadai watat walimsaliti n 1 mshirikina, possible hzo zote sifa zake..Huyo bikra nae 29 possible kasajiliwa kwenye chama chetu cha CHAPUTA.. bt naweza mpa point huyo wa 2 coz mambo ya dini ect yanarekebishika. Wa kwanza kimeo
 
Nilichogundua mtoa mada amekolea kwa jamaa wa kwanza huyo player..anavumilia mengi
1. kuwa na watoto4 wenye kila mama hilo sio Jambo la mchezo
2. Kuvumilia Matusi ili hali hajakuoa na wewe bado yupo

Hata kama love is blind hii yako ni kiboko kwakweli, ule msemo aliyewaroga kafa nauamini!!


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Fata moyo wako unachokitaka ila huyo mwenye watoto wanne kwakweli hapana kha?
 
sidhani kama dini ni kigezo cha kumkataa umpendae, ila naamin jibu unalo isipoangalia utaenda mzalia mtoto wa 5 na ukatimuliwa
 
Mwenye Watoto wanne ni kimeo hiko cha kufa mtu....kama hata hilo hulioni basi wewe nae ni kimeo kingine..

Kuna haka kahadithi kwa muuza magazeti....
Ili kupata wateja aliamua kufanya usanii kidogo.....
"Nunua gazeti...nunua gazeti....watu 50 wametapeliwa".....sasa jamaa kashiwishika kununua, aliposoma hakuona utapeli wowote ila kauli ya muuza magazeti ikawa ""Nunua gazeti...nunua gazeti....watu 51 wametapeliwa"

Huyu naona anataka kuwa wa 5 na atakua mchawi kwa wa 6!
 
nawe una watoto wa mama tofautitofauti like him na una mpango wa kuoa

Nina mmoja tu,lakini siwezi mshauri binti aolewe na mtu mwenye mtoto unless awe ameji ridhisha na uhusiano uliopo kati ya mama wa mtoto na huyo mwanaume,na kubwa zaidi arrangements za malezi ya mtoto

Huyu mwenye wanne tena mama tofauti ndio kabisaaa hafai hata kama amejirudhisha na kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…