mwambie ukinywa maji unamuona kwenye grasi. ukienda choon unanuona kwenye shimo la choo. ukiwa na nyumba ndogo unamuwaza yeye. pia msifie kuwa umependa matege yake. na unapenda vile anavyopakia msosi.
It depends, kwa mfano akiwa mlevi we mwambie tu 'twende baa bebii!' akiwa mchamungu, muhamasishe ibada, atapenda kuskia hayo maneno, akiwa mroho mpe story za kulakula, akiwa mbea mpe umbea,........ nk.