Nilizaliwa 08/08 tukiwa mapacha

Nilizaliwa 08/08 tukiwa mapacha

Chozilaurithi

Senior Member
Joined
Apr 13, 2018
Posts
120
Reaction score
55
Ndg zangu leo ni siku yangu ya kuzaliwa tulizaliwa mapacha kwa bahati mbaya mwenzangu alinitoka akiwa katika hatua ya kutembea nimekaa hapa nikimuwazia sana kwa uchungu kwa maana angekuwepo hadi leo tungeifurahia sote siku yetu pendwa yenye nane nane mbili nasi tukiwa wawili
 
Pole sana mkuu na happy birthday to you.
 
Ndg zangu leo ni siku yangu ya kuzaliwa tulizaliwa mapacha kwa bahati mbaya mwenzangu alinitoka akiwa katika hatua ya kutembea nimekaa hapa nikimuwazia sana kwa uchungu kwa maana angekuwepo hadi leo tungeifurahia sote siku yetu pendwa yenye nane nane mbili nasi tukiwa wawili
Heri ya siku ya kuzaliwa mkuu.
Pole kwa kumpoteza mwenzako
 
Ndg zangu leo ni siku yangu ya kuzaliwa tulizaliwa mapacha kwa bahati mbaya mwenzangu alinitoka akiwa katika hatua ya kutembea nimekaa hapa nikimuwazia sana kwa uchungu kwa maana angekuwepo hadi leo tungeifurahia sote siku yetu pendwa yenye nane nane mbili nasi tukiwa wawili
Nane zipo tatu
 
Pole sana Mkuu kwa kumpoteza pacha mwenzako.

NA hongera sana kwa kukumbuka siku yako muhimu yakuja hapa duniani.

Happy birthday to you.
 
Nami nayeandika hapa ni pacha mwenzako nimezaliwa tarehe na mwezi wa siku ya Leo nami nipo nasherehekea siku yangu yakuzaliwa Leo hii tupo pamoja na pacha mwenzangu .

Mungu ni mwema na wakwetu sote.
Tushukuru kwa kila jambo.

Happy birthday to all twins around the world
 
Ndg zangu leo ni siku yangu ya kuzaliwa tulizaliwa mapacha kwa bahati mbaya mwenzangu alinitoka akiwa katika hatua ya kutembea nimekaa hapa nikimuwazia sana kwa uchungu kwa maana angekuwepo hadi leo tungeifurahia sote siku yetu pendwa yenye nane nane mbili nasi tukiwa wawili
Bora ungeondoka ww yy abaki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom