Hata hao wengine wakiingia mambo yatakuwa haya haya unayoyashuhudia sasa hiviHalafu utawapigia kura watu hawahawa
Halafu utawapigia kura watu hawahawa
Assumptions hizo, hawa tunawafahamu na kuwajua, wale wengine hatuwajui; kwanini tusiwajaribu tuone? Cause hata hiyo mikakati yao ambayo inasifiwa, ni mawazo ya hawa hawa tusiowajua, yaani wana copy tu na kupestia kwao.Hata hao wengine wakiingia mambo yatakuwa haya haya unayoyashuhudia sasa hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuhudumiwa kama private ila gharama ni za juu tofauti na wanaenda kwa rufaaKwenda mhimbili mpaka uwe na refferal kutoka hospital ya mkoa au ya rufaa,yawezekana Dr Ali asses tatizo that why akagoma,
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe msaga sumu nakushauri kasage sumu, ndo kazi yako hiyo!Madaktari wanajua kuliko wewe mkuu, kwanini haukumpeleka Temeke au M/nyamala?
Unaposema sisi unamaanisha nini? Hao madaktari siyo sisi? Tunaoandika hapa siyo sisi? Wanaokataliwa kupokelewa siyo sisi??Madaktari wamesikiliza maneno ya mitandaoni kuwa Hali ni mbaya kwanini wasiogope?.
maana huku mitandaoni kila mgonjwa anaepelekwa hospital wanasema ana corona kila mtu akifa wana sema ana corona kwanini wasiogope.
TUBADILIKE SISI KWANZA.
Sent using Jamii Forums mobile app