Niliyoyaona Geita mjini

Niliyoyaona Geita mjini

Kwa hiyo hizo gutters mpaka international airport?
 
Geita na Mtwara ziko jirani?
Kumbe nao wameendelea wanakunywa maji ya chupa mpaka zingine wanatupa mitaroni. Geita mko juu
 
Geita iko mkoa upi kati ya Mwanza na Bukoba
 
Mbona hayo mambo hata Dar huku ndio penyewe!pita pale mwenge njia ya kuelekea TRA kuna mabucha mengi ya nyama angalie ule mtaro wa mbele ya hayo mabucha ulivyomchafu,hayo maji uliyopiga picha mbona masafi kabsa
 
sasa wewe nduguyangu umeenda kuchagua sehemu chafu tu, ambazo zipo kila mahali hapa duniani,mpaka majumbani mwa watu umefika ukapiga picha, mamlaka ifike mpaka majumbani kweli?!? mbona hujapiga picha DESIRE,LENNY,n.k??
 
Hayo maji machafu yanapita katikati ya makazi ya watu na yanatuama mbele kidogo mkuu.
 
hilo s

hilo sina shida nalo, shida yangu ni picha uliyoiunda kwamba GEITA ni pachafu sana kwa sababu hukuweka na picha nzuri za mji wa geita tukafanya ulinganifu. yaani hata mzunguko pale hukuuona kweli?!? Mzunguko wa kwenda mgodini GGM,Bomani kwa DC,RC na pia kwenda Chato mpaka Kampala!!!. yaani hata ARUSHA ukitafuta sehemu chafu kuzidi hizo za geita zipo kwa wingi hata NEWYORK,PARIS,TOKYO zipo tu!!
 
Malengo hayakua kuonesha mji bali ni kuwaamsha wanaohusika na usimamizi wa mazingira kwenye mji huo.

Kwa niliyoyaona
Nimeamini kabisa wahusika muda mwingi wanasinzia kwenye meza mara baada ya kua wameshakunywaa chai.

Mjio huo ni mdogo sana kuweza kulinganisha na majiji mengine makubwa,
Pia hapo ni eneo lisilo mbali na katikati ya mji huo.
 
Back
Top Bottom