Niliyoyaona Geita mjini

Niliyoyaona Geita mjini

ho chi minh

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2016
Posts
32,904
Reaction score
163,076
Habari wana jamii forum,
Nimebahatika kufika Geita Mjini na kuona mjini kwa kiasi unakuwa ingawa changamoto ni nyingi.

Tatizo nililokutana nalo ni mamlaka muhimu kuendelea kukaa ofisini bila kutatua kero nyingi za wananchi.

Lawama zangu zaidi ni kwa ofisi ya mazingira na idara ya afya.

Nimeona uchafu toka katika machinjio yaliyo mjini katikati.

Maji machafu yaliyochanganyikana na damu za mifugo wachinjwao hapo yanapita katikati maeneo yanayokaliwa na binadamu,

Ni hatari sana.
IMG_20181204_125813.jpg
IMG_20181204_125813.jpg
 
Ngoja mkuu apite hapa soon atatoa agizo kwa mamlaka huska
 
Back
Top Bottom