Niliyoyafanya katika msiba wa Bibi

Najua Anko anajuta sana kuwa na mpwa wa aina yako,, anajuta kwa nini dada yake alikosea pa kwenda kuweka ubavu wake,,
 
Hongera sana mkuu
 
Hivi Huo ujasiri wa kurekodi marehemu huwa mnautoa wapi? Hata kama msiba ni sherehe, hivi unaweza kabisa ukaweka video ya msiba au mazishi ukaangalia hafu kitakofuata utafurahi au kuhuzunika?
 
Yaani siku tukikutana andaa kabisa jero langu la bando, nimesoma huu utumbo wako hapa na sijaambulia chochote.

Ndegelesi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Video nzima unaonekana wewe tu na marafiki zako
 
Wewe ni mjinga yaani unatumia advantage ya kifo cha mama mtu kumlipizia kisasi? Nadhani hata huko Dar wewe ndiye mwenye makosa na siyo mjomba wako. Na unajisifu kuchukua picha ya demu unayemtongoza. Kweli umemuaibisha mama yako. Kijana wa kwanza katika matukio ya misiba na harusi hupaswa kuwa kimbilio lakini kwako ni bora hata usingekuwepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...msishangae kuona
......inaendeleeea kesho kwioookwioookwioo
 
yaani kwenye msiba lakini hukusahau kumrekodi demu uliyekua unammyendea, we jamaa unageuka kituko kama kisandu kabisa.
 
Majingakama haya yako. DAR
Mengi shida yanakuwa na uwezo kuzidi wajomba ndipo maana wanadharaau wazaziii mjomba wakoo n. Mamayakoo. Kama. Unajua. Umemuaibishaa. Mjomba na maMaakaaibikaa kweupe wajomba wakisema neno huchomo8 hattauwe na hela za fmassons

KUNA MOJA 2010 LILIWAHINIFANYA MTOE 550"000YAJENEZA NA USAFIRI.. ANA KAHELA CHAKE MBUZI TUMEFIKA MOSHI AKAMBIWA ZIMEKUSANYWA KADHAA ZA WAJUKUU.. WAJUKUU WAMEOMBA WAPEWE WAJOMBA WAWILI WALIOBAKIA HIZO HELA KASIMAMA NO BIBI ANATAKIWA AZIKWE NA JENEZA ZURI.. NKAMUULIZA UR BR USHAENDA KUONA JENEZA LA BB... AKADAI HIZI PESA ACHUKUI MTU NAONGEZEA TUNANUNUA JENEZA LA LAKI KADHAA NKAMWANGALIA NINA USD 3500TOKA CONGO CONGO... NKAONA KUBISHANA AOSAIDII HADHARAN NKAMWITA NKAMWOMBA HIZO 400000 WAPE HAO WAZEE M NAENDA NA WEWE CHAGUA GARI NA JENEZA LISIZIDI 650 MBELE Y\ BABAKE NA UNCLE ZETU NA WENGINEO NKKWOMBA HAYA TINAFANYA KAMA NDUGU ACHANA NAMAMBOYA KUTANGAZA HUYU KAFANYA KILE.. NK\ZIMUA D. CABIN MOJA MPAKA KCMC TUKAZUNGUKA WAKAPATA ANALOTAKA YEYE NKALIPIA BIBI AKALAZWA SWAFIII
NILIPOONA ANAZIDI UMBEA KILANDUGU ANAKUJA NIKISI WENGINE NTEMEA MATA YA UPENDO NIMEZIKA NKAITA MBEGE PIPA.. KRETI MBILI ZA BIA NKACHAPA LAPA MAMBA KOTELA.... PATA DOMPO ZANGU MBILI CHUMBANI HUO NDIO UPENDO
UKIBISHANA NA MJOMBA UNA SHIDA KICHWANI..... WALE WAJOMBA KILA SIX MONTHS WAKO KWANGU DAR KULA MAISHA YA UPENDO NILICHONACHO NAWAPA WANARUDI MOSHI... BARAKA ZINGINE SIO LAZIMA FMASSONS
 

Wewe una matatizo makubwa sana na kwa tabia hii hautafanikiwa milele, una Kiburi, majivuno na majigambo ambayo hayatakusaidia kitu!

Usiposikiliza haya kuna siku utayakumbuka, pesa ya mjomba, kila kitu cha kwake, mkubwa kwako, kakuzidi kila kifu, unashindana naye!
 
Wewe Jamaa akili zako unazijua mwenyewe asieee!! Nimecheka na nimeshangazwa sana hasa hichi kipande cha mwisho ulichomalizia.

Eti

"Ile CD akaisusa namimi nikasema hakuna shida nikaichukua na kuitunza mara nyingine huwa tunaenda nayo kwa jirani mwenye Tv tunaangalia na mama na wale marafiki zangu tuliorekodiwa tunafurahi na kurudi nyumbani."

TUNAFURAHI NA KURUDI NYUMBANI. KHAA!!?[emoji44][emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hadithi hii inatufundisha nini?
 
pdidy bro come on[emoji85][emoji85][emoji85]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…