Mwaka jana Baada ya Dp kupewa Bandari tu nilianza kuwatahadharisha wafanyakazi wa Bandari wajiandae kisaikolojia kuwa Dp World anaweza akaja na wafanyakazi wake na wengi wakakosa ajira pale
Siungi mkono huu ubinafsishwaji ila ningependa kuwapa ukweli tu wafanyakazi wa Bandari kukaa mguu sawa wajue kuwa mambo yanabadilika huenda wengi wakakakutana na kitu ambacho hawakutarajia Waarabu huwa wanamiliki makampuni tu sababu wana pesa ila kiutendaji Wazungu na wahindi ndio huwa...
Nliyoyasema yameanza kutimia baada ya jana kuzipata Tetesi kuwa Tayari Dp kashaanza kuuwasha moto kuwa anakuja na wafanyakazi wake hivyo hahitaji wafanyakazi wa hapo Tpa maana yake , ataajiri watu wake yeye kama yeye, Naskia wafanyakazi hapo Dar port wamechanganyikiwa