Niliwamisi sana jf.

TaiJike

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2011
Posts
1,482
Reaction score
669
Hi WanaJF,
I hope mko poa niliwamisi sana wapendwa.
 
ulienda wapi au vidole vilikuwa na kazi ingine
 
Nilienda krismas vidole vikapendelea huko, leo vimehama baada ya menu kubadilika.
 
karibu tena, umekuja na zawadi gani???
 
Hivi mwita25 uwa uwezi kukaa kimya kama huna la kuchangia? Au kuna sheria inayosema kila thread unayofungua lazima uchangie?

Sheria za JF hazijaweka limitation concerning the maximum number of posts a member is supposed to post on/in
 
Karibu na upite mpaka chumbani, ila ni marufuku sana kufika sebuleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…