ODM hapo kwenye kuandama nipo na wewe, uandame usiandame mi kesho ni IDD tu hata mkoloni analijua hilo. hakuna kitu kibaya ka unapika maandazi ya kesho then unakuta haujaandama! lol
mi kesho ni sikukuu bana!
Mkuu ODM nami nakuambia kamwe hautakua pekee kesho
huko pm utaniharibia swaumu,swaumu yangu ina ndimu inachacha haraka. see u baada ya iftah

babu nikukute wapi leo usiku?kumbuka tunaswali talawee
Husninyo kapangiwa arenjid merieji na mkulima mwenzake hapa JF anakwenda kwa jina la salanga, wazee wamempa mkwala akimkataa salanga hakuna urithi!
balaa!
Nimekupata,jitahidi kujali muda
Kwa babu ni pazuriiii ndugu tunapokaaa, tukipatana vyemaaa na tukipendanaa,
ODM hebu mwambie Daughter aje na mwenzake!
sitakupita mpendwa ntakupitia twende wote kwa babu
kwa babu kuna raha ya ajabu
Hahahaaaaaaaa
We mkareeeeeee
Ewaaaaa,
Kwa babu kwa meta meta kuonekana kulee mbaliiii....
Will wait for you Daughter
sasa acheni nitoke nje na kidarubini changu kuangalia mwezi! baadae bana fellow tablet aspirin na sweetheart, honeymoon, laaziz, sharbaati, mahbuba, sweetpie, heartbeat wangu Keren Happuch!
Babu nimekupigia weeeeeeeeeee mpaka nimechoka,ur tigo 4n is offfffffffffffffffffff,au umeme umekatika kwenye cm?
Asante, Lakini nitakuja nazo zangu
za babu huko zinakotoka sio tamu
kama za huku zenye vidoa doa
uje umetawadha kabisaa, afu kwani kama idd ni kesho leo tutakula daku?

Nyie wote hapo juu ndo mmeupakazia mwezi kwa Mungu mpaka umegoma kutoka....Inshaallah leo ntaenda kuutoa mwenyewe, hata kwa greda ikibidi. Kwanini mnaongea maofutopiki katika hii yuziful Chit Chat Sredi?heeh! mbona wimbo wa msiba tena? uko kwa bujibuji?

Wacha kabisa mzee mwenzangu, Swaumu iache iitwe swaumu....Mzee mwenzangu acha kuwarusha watu roho,
Siku 30 si mchezo...waache wamalize masaa yaliyobaki salama!!
He!!!:bump:Mpaka dkk hii sijapata Mwaliko wa Eid ..hata Malaria sugu hatupi mwaliko jamani..
Nawatakia sikukuu njema wapendwa tukaribishane .
:A S-rap:Kutokana na ugumu wa maisha na matatizo yanayotuandama, wananchi wameamua kuongeza siku za kufunga, had pale itakapotangazwa tena. Nawakilisha.
:embarrassed:

soma tangazo eid imeahirishwa until futher notice.
Nansha nshiki.........Iddi waila peke yako, au ndo nikiona kimya nijue nini?Yeeeeiiiii umerudi....habari yafyo mbe???
Look.... here comes my darling shem......Of all the people we ndo umeniandalia kitu murua kwa siku murua.......... mfungo ndo unaisha leo, si ndio?.......knock! knock! guess who is there?ODM the 30 days umenisindikiza.... the buffet i will prepare and
the way i will arrange it - will be worth your while... And of course
sitasahua the desert you so like ya kule home... (naona nisitaje mfungo haujaisha)
nimeshajua sasa kuwa BW huna mapenzi mema na babu.............babu unayo meno ya kula nyama au ndio pilau bubu........karibu tusker baridi pale pale
dah hii hatari ile nimeipenda Avatar yako..

soma tangazo eid imeahirishwa until futher notice.
Umeipenda avatar yajke au mwenye avatar? BTW majani unatumia Eid hii? We ndo umeukimbiza mwezi naapa!dah hii hatari ile nimeipenda Avatar yako..
Sasa mukulu ulitaka anialike nini ilhali unajua wanywa bia ndio tunaiongoza nchi?......nimeshajua sasa kuwa BW huna mapenzi mema na babu.............
unamkaribisha bia???????????
unataka ajikojolee?????????
hiyo kitu Tusker mkaribishe FB bhana, ,,,,,,,,,,,, anaipenda balaa..............
ilLook.... here comes my darling shem......Of all the people we ndo umeniandalia kitu murua kwa siku murua.......... mfungo ndo unaisha leo, si ndio?.......knock! knock! guess who is there?
Minal faidhina, kama nimekosea nsaidie kurekebisha.......Mnasalimiwa sana na watu wenu mtaa wa pili huku...... Nimewapa mwaliko wako basi yananitokea puani. Kila saa nafanywa kumbushwa tu.....Dadiii mbona hatwendi kwa anti ADI?......... ODM visingizio kwishney......... Eid Mubarak shem......il
Its a previledge.... Just don't forget ujapo bring those two beautiful Sweathearts...
waje wakutane na wenzao huko... Family and ol' you know... Eid M'barak...
Minal faidhina, kama nimekosea nsaidie kurekebisha.......Mnasalimiwa sana na watu wenu mtaa wa pili huku...... Nimewapa mwaliko wako basi yananitokea puani. Kila saa nafanywa kumbushwa tu.....Dadiii mbona hatwendi kwa anti ADI?......... ODM visingizio kwishney......... Eid Mubarak shem......
ODM is humbled....ODM is happy........ ODM is proud of you.............. Sasa mfungo umeisha, Eid tushakula pilau kilichobaki tulijenge taifa na familia zetu...........Ukienda tena kwenye lile jukwaa ntakuchapa kwa niaba ya baba......The way our families had fun together... me and my better half have decided it is going to be a custom... every Eid & other major holidays... all the families come and stay together for at least two days - Mambo mengi kutembeleana familia from no where imekua shida... (ODM... Apart from your other flaws - you know what; You are a Great Dad and hubby, me proud of you...)
ODM is humbled....ODM is happy........ ODM is proud of you.............. Sasa mfungo umeisha, Eid tushakula pilau kilichobaki tulijenge taifa na familia zetu...........Ukienda tena kwenye lile jukwaa ntakuchapa kwa niaba ya baba......
Bora uonekane umekimbia, kwani watakufanya nini? After all, hii ni kubishana na screen LOL........ Ukienda tena ntakuchapa!ADI is elate that ODM is happy, proud and humbled....
Lile jukwaa am telling you... Dah! Sitarudi tena!! (ila nadaiwa post moja pale - si itaonekana nimekimbia??)
Bora uonekane umekimbia, kwani watakufanya nini? After all, hii ni kubishana na screen LOL........ Ukienda tena ntakuchapa!
Count me in! Hahahaha usiniambie mpaka PM wanakutafuta..... Hatari sana hii. ODM atakuwa tayari kupigwa BAN kwa ajili ya kumtetea AshaDii.
Your sweetie is my homeboy....what a coincidence! Titashinda vita LOL
Wacha kabisa mzee mwenzangu, Swaumu iache iitwe swaumu....
He!!!:bump:
:A S-rap:
:embarrassed:
Nansha nshiki.........Iddi waila peke yako, au ndo nikiona kimya nijue nini?
Look.... here comes my darling shem......Of all the people we ndo umeniandalia kitu murua kwa siku murua.......... mfungo ndo unaisha leo, si ndio?.......knock! knock! guess who is there?
ODM is humbled....ODM is happy........ ODM is proud of you.............. Sasa mfungo umeisha, Eid tushakula pilau kilichobaki tulijenge taifa na familia zetu...........Ukienda tena kwenye lile jukwaa ntakuchapa kwa niaba ya baba......
Bora uonekane umekimbia, kwani watakufanya nini? After all, hii ni kubishana na screen LOL........ Ukienda tena ntakuchapa!
Count me in! Hahahaha usiniambie mpaka PM wanakutafuta..... Hatari sana hii. ODM atakuwa tayari kupigwa BAN kwa ajili ya kumtetea AshaDii.
ODM tafsiri tafadhali sina dikshenari hapa karibuYour sweetie is my homeboy....what a coincidence! Titashinda vita LOL
ODM tafsiri tafadhali sina dikshenari hapa karibu
Kwakweli hata mimi sielewi nimejaribu kuchukua ile dikshenari ya Harvard nimetoka kapaPA... Hayo naona ka copy na kupaste....lol.... Lets wait and see.....