Ahsante Missie Juddie..........!pilau njema ODM!
Si ndio maana nimekwambia Iddi yangu ni kesho, mwezi utoke au usitoke.Wakati wewe ulikuwa bundi kila siku kwenye vibanda kwa kujificha unakula
Sasa unajidai ulikuwa umefunga
Ngoja nikamwambie bibi yetu
Baa yoyote iliyo karibu.......toa ramani ya pilau..tuje
Mi napendelea nyama ya mbuzi jike.....Asee!
Aisha wa ACB anakukaribisha pilao la mbuzi,
ila mbuzi mwenyewe amehasiwa, kwa hiyo hutapata Ashua aka ukoo!
Zipo nyingi, niambie mojawapo taxi draiva wangu..........babu unayo meno ya kula nyama au ndio pilau bubu........karibu tusker baridi pale pale
Karibu..........mwaliko tafadhali...
Hapo kwenye wajukuu ndipo ulipokosea njia........Mhhh babu basubiri mwaliko hata kama hukufunga
na uniachie kile kijukuu chako maana kinanipenda sana
Hahahaha..... siyo maini? Nimepamisi Kwa mrombooachana na hizo nyingi...........sehemu kwenye mapafu ya mbuzi jike
Duh!kweli kwenye kiti tulikutana nao saa za giza giza mchana hawakuweko kabisa.
Senkyuuu!karibu
Ahsante kajukuu.......... karibu pilau.
Huku tuliko hakuna internet.......Babu kijukuu chako nimekinunulia simu ile inaitwa Black Berry na kimesema kimenikubali
Usiniwekee usiku bana nikakosa mtu wa kutembea nae sikukuu nzima
Kitanda cha babu ni cha kambaKitanda hicho hakijavunjika?
Mi nakazia swaumu hapa leo mwezi unatoka
Oupss nimekorofisha....from rafiki to kajukuu with love..... Nakusubiri tule pilau huku. Uje na ndizi na pilipili.Asante babu! Ila ndo nimekuwa kajukuu....ina maana kadooooooogo....mhhhh!!!
Huku tuliko hakuna internet.......
QUOTE]
Huwa anapanda juu ya mti tunawasiliana na akienda pale kijiweni unapokunywa kahawa huwa anapata net work