Niliwamisi, acheni masihara...........!

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
67,976
95,295
Marafiki, Wajukuu, wapwa, mabinamu na mashemeji....

Likuwa mwezi mgumu wenye wingi wa makeke......
Ilipingua kampani ya Ile "MUPE MURUKE"
Ile "Njoo upate mbili" Tulibakia wachache
Stuli ndefu za kaunta tulibakia wapweke......

Dah......
Tuliwamisi watani,
Miichakato mitaani,
Weka pembeni utani,
Karibuni viwanjani.....

Ila tusinyang'anyane, (Kimaslahi zaidi):msela:
Wala tusibaguane (Tupigiane mapandee) LOL
Bali tushirikiane, (Caring is Sharing):A S-rap:
Kwa pamoja tupendane. (Funda moja la ziada lisituumbue):peace:

Kamata hii weka hapa, Chukua hii Tupa Kule.

Kwa Mapenzi na Furaha Nawatakieni Eid Mubaraka.
Mwezi uonekane leo au kesho, mi sielewi somo, Iddi yangu mimi ni KESHO! PERIOD!

ODM anarudi kitandani kujiandaa kula Pilau.
 
Wakati wewe ulikuwa bundi kila siku kwenye vibanda kwa kujificha unakula
Sasa unajidai ulikuwa umefunga
Ngoja nikamwambie bibi yetu
 
Asee!
Aisha wa ACB anakukaribisha pilao la mbuzi,
ila mbuzi mwenyewe amehasiwa, kwa hiyo hutapata Ashua aka ukoo!
 
pilau njema ODM!
Ahsante Missie Juddie..........!

Wakati wewe ulikuwa bundi kila siku kwenye vibanda kwa kujificha unakula
Sasa unajidai ulikuwa umefunga
Ngoja nikamwambie bibi yetu
Si ndio maana nimekwambia Iddi yangu ni kesho, mwezi utoke au usitoke.

toa ramani ya pilau..tuje
Baa yoyote iliyo karibu.......

Asee!
Aisha wa ACB anakukaribisha pilao la mbuzi,
ila mbuzi mwenyewe amehasiwa, kwa hiyo hutapata Ashua aka ukoo!
Mi napendelea nyama ya mbuzi jike.....

babu unayo meno ya kula nyama au ndio pilau bubu........karibu tusker baridi pale pale
Zipo nyingi, niambie mojawapo taxi draiva wangu..........

mwaliko tafadhali...
Karibu..........
 
Mhhh babu basubiri mwaliko hata kama hukufunga
na uniachie kile kijukuu chako maana kinanipenda sana
 
kweli kwenye kiti tulikutana nao saa za giza giza mchana hawakuweko kabisa.
 
Mhhh babu basubiri mwaliko hata kama hukufunga
na uniachie kile kijukuu chako maana kinanipenda sana
Hapo kwenye wajukuu ndipo ulipokosea njia........

achana na hizo nyingi...........sehemu kwenye mapafu ya mbuzi jike
Hahahaha..... siyo maini? Nimepamisi Kwa mromboo

kweli kwenye kiti tulikutana nao saa za giza giza mchana hawakuweko kabisa.
Duh!

Senkyuuu!
 
Babu kijukuu chako nimekinunulia simu ile inaitwa Black Berry na kimesema kimenikubali
Usiniwekee usiku bana nikakosa mtu wa kutembea nae sikukuu nzima
 
Babu kijukuu chako nimekinunulia simu ile inaitwa Black Berry na kimesema kimenikubali
Usiniwekee usiku bana nikakosa mtu wa kutembea nae sikukuu nzima
Huku tuliko hakuna internet.......

Kitanda hicho hakijavunjika?
Mi nakazia swaumu hapa leo mwezi unatoka
Kitanda cha babu ni cha kamba

Asante babu! Ila ndo nimekuwa kajukuu....ina maana kadooooooogo....mhhhh!!!
Oupss nimekorofisha....from rafiki to kajukuu with love..... Nakusubiri tule pilau huku. Uje na ndizi na pilipili.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom