Niliwahi fikiria hakuna upinzani wa kweli Tanzania

Vikao vya Harusi

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
512
140
Miaka kadhaa nyuma, niliwahi fikiria Tanzania hakuna upinzani wenye nia ya dhati ya kuwakomboa wanachi toka mikononi mwa CCM, nadhani sasa yanatimia, mwaka huu CCM kwa mara ya kwanza itasimamisha wagombea wawili katika kinyang'anyiro cha urais, na hili halipingiki.

Hakuna asiyejua kuwa lowassa ni pandikizi la CCM ndani ya UKAWA, na yeye alijua kuwa hatapewa nafasi ya kuiwakilisha CCM mwaka huu, ila alipewa kazi ya ziada ya kuumaliza upinzani.

Lleo hii UKAWA wanamsimamisha mtu ambae kwa macho ya kibinadamu ni mroho wa madaraka, na kwa macho ya kiroho ametumwa kwenye kazi maalum na watu maalum, mwisho wa siku vijana wa UKAWA wamekuwa kama shukrani ya ASANTE.

Ukipatwa na msiba ukapewa pole unajibu ASANTE, ukipata mtoto ukapewa hongera unajibu ASANTE, hii inatokana na kuwatukuza akina MBOWE kama Miungu watu, kila wanalosema inaonekana ni sheria na kila mtu anapaswa kuliheshimu.

Leo hii akina Yericko wanatumia Nguvu kubwa kupotosha umma kwakuwa wana legacy ya kufanya hivyo. WITO wangu: ni mda wa kuishi ndoto zetu sio kuishi ndoto za viongozi wetu.

Peoples' power the healing therapy
 
Umenena kweli.Mbowe na Wachaga wenziwe ni matapeli na majizi.Yanakula hongo alafu yanakuja kutufanya sisi mazuzu tuwasupport.Siwe kuunga mkono upumbavu ni bora nikampigia kura yangu hata Fahmi Dovutwa kuliko kukabidhi nchi hii kwa majizi na malafi ya Moshi na Arusha.NYAMBAFU.
 
Yule babu sijui anamipango gani jamani, maana ikulu anaitafuta kwa mali zote!!
 
Hyo technique hutumika sn Lakin kwa harakat na muda Hu ni waz lowasa ypo knyume na CCM,,, lowasa apandkzwe ili apate nn,, bnafc vta Yao imkuwa catalyst 4 change,,,
 
Umenena kweli.Mbowe na Wachaga wenziwe ni matapeli na majizi.Yanakula hongo alafu yanakuja kutufanya sisi mazuzu tuwasupport.Siwe kuunga mkono upumbavu ni bora nikampigia kura yangu hata Fahmi Dovutwa kuliko kukabidhi nchi hii kwa majizi na malafi ya Moshi na Arusha.NYAMBAFU.

Huu udini na ukabila ulianza miaka ya 2005 sasa sijui muasisi wake alikuwa akimaanisha nini.
 
Vikao vya Harusi

Hili sio la kweli hata kidogo yaani ccm watakuwa wajinga mpaka waweke pandikizi wa kwenda kuwapunguzia wabunge na madiwani na wenyeviti wa serikali za mitaaa:what::banghead: ndio maana nasema kuna watu humu siasa hawazijui vizuri kazi kukurupuka tu .
 
Last edited by a moderator:
Wewe nenda zako kwenye vikao vya harusi huko, unatupotezea muda tu watu tuko kwenye furaha zetu.

ccm wapandikize mtu wao uzuri atakuwa kama sanamu halafu wafanyakazi (mawaziri) wanatoka upinzani.. bado tupo kwenye nafasi nzuri ya kutoa mfumo mchafu uliokaa kwa muda wa miaka 50....

Asilimia kubwa ya IQ ya mtoto anarithi kwa mama, nyinyi warembo mbarikiwe na Mungu mtazaa watoto wenye akili kubwa hata kama mtazaa na boguz kama hili vikao vya harusi kama me.

Hili boya limezaliwa na wamama aina ya Martha Mlata au Asumpta Mshana unategemea akili atatowa wapi? Hopeless kabisa jingajinga limited.
 
Allahuma Amiin, ubarikiwe mkuu nawe upate mke mwenye akili kubwa kama sisi ili mpate watoto wenye IQ kubwa.

Huyu ni wa kumpuuza tu, sasa mtu anajiita vikao vya harusi unategemea nini?
 
Back
Top Bottom