secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,617
- 44,411
Nimegundua kitu. Hakuna mtu anayependa kushikwa sehemu mbaya πTupo bwashee π
Itabidi azowee tu!Hahaha kuna kiazi kaona kazidiwa maarifaππ
MhhAma kwa hakika ukitaka mbuzi ahangaike mkate mkia. ππ
Walevi waje hapa!
Na mimi sikopeshi bwashee πNimegundua kitu. Hakuna mtu anayependa kushikwa sehemu mbaya π
Angalia usije ukapigwa mtama.Na mimi sikopeshi bwashee π
Sivunji sheria za jamiiforums kabisaπAngalia usije ukapigwa mtama.
Kumbuka mlokole akipewa rungu inakuwaga soo! πSivunji sheria za jamiiforums kabisaπ
Wa nyuma.Mkia upi