Nilivyotaka kumuua ndugu yangu

Huna haja ya kumalizia na story yenyewe.....!

Una roho nyepesi sana.
 
Mmh kumbe kuna waganga wasio na uroho na pesa.Ila hakikisha humpigii promo huyo mganga.

Lakini nikupe pole kwa mikasa mikubwa ya kimaisha.Hii inaonyesha huyo mlokole (shemeji) ndo alimbadilisha bro wako.
Tujidunze kusikia habari kisha uchambue kwa kina yaliyomo pasi kutegemea mtoa taarifa mmoja kama kaka yako alivyofanya!
 
uandishi mbovu nasoma naruka ruka..stori nusu..jamii forums wekeni option ya pending post..kwa maana ikitokea mtu anapost huku story haijawa complete ikae huko..wekeni na option ya kureport thread.
Umelazimishwa we jamaa wa fesibuku..
 
Bro pole Sana kwa mkasa huo mambo ya ndugu hayatabiliki kamwe. Binafsi sitakuja kurudia kosa kufanya biashara na ndugu
 
uandishi mbovu nasoma naruka ruka..stori nusu..jamii forums wekeni option ya pending post..kwa maana ikitokea mtu anapost huku story haijawa complete ikae huko..wekeni na option ya kureport thread.
Ni kweli mkuu lakini message na content ya story hujaona / kuelewa?

Anyway maisha yana mafundisho mengi sana na kila leo tunakutana na mapya, ila kuua ulifka mbali sana mkuu, samehe na focus na maisha yako.
 
Wanawake walokole ni wanafki sana
 
Kosa lilikuwa kwa bro wako , Kukuchukua Uje Uishinaye mjini,
Ndo mana Sipendi kukomplicate maisha, sitaki undugu na Mtu, hata Urafiki fanya maisha yako nami nifanye yangu, tukikutana Story tu..
 
Naomba namba ya huyo mganga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…