Ckuwa na chochote. ilikuwa ile miaka ya uenda wazim kuzamia. Nikapenya mpaka pale askari mmoja mzungu akaniuliza maswali flan akaniachia ile naanza kuingia askari mmoja mswahili akanistopisha ile kuniuliza baadhi ya mambo ckuwa na majibu japo nilikuwa na hela flan. Wakanikamata. Nikapikiwa kwenye gar nyumban. Kipindi hicho Harare ilikuwa safi Nairobi inasubiriKwanini uliishia mpakani na kurudi nyumbani mkuu?
Hahaha pole sana aisee. Kweli ulikuwa na bahati mbaya mkuu, maana ungefanikiwa kupenya maybe saa hizi ungekuwa mbali kimaisha.Ckuwa na chochote. ilikuwa ile miaka ya uenda wazim kuzamia. Nikapenya mpaka pale askari mmoja mzungu akaniuliza maswali flan akaniachia ile naanza kuingia askari mmoja mswahili akanistopisha ile kuniuliza baadhi ya mambo ckuwa na majibu japo nilikuwa na hela flan. Wakanikamata. Nikapikiwa kwenye gar nyumban. Kipindi hicho Harare ilikuwa safi Nairobi inasubiri
Kitali 😂🤣🤣🤣Mwaka 1997 niliishia hapo mpakan nikarud zangu kwa adabu
South Africa nimeenda sana karibu miji yote mikubwa. Kuna vinywaji nilikuwa nauza so kwangu hakuna kilichoharibika. Nimezaa na binti mmoja sumu sana. Mwanangu ninae.Hahaha pole sana aisee. Kweli ulikuwa na bahati mbaya mkuu, maana ungefanikiwa kupenya maybe saa hizi ungekuwa mbali kimaisha.
Kuhusu Harare mpaka sasa bado iko vizuri, japo upatikanaji wa kazi, na gharama za maisha zimepanda ukilinganisha na miaka hiyo.
Mkuu si ulisema uliishia boda ukarudishwa, au mimi ndo sijaelewa?South Africa nimeenda sana karibu miji yote mikubwa. Kuna vinywaji nilikuwa nauza so kwangu hakuna kilichoharibika. Nimezaa na binti mmoja sumu sana. Mwanangu ninae.
Nilikuja kwenda baadae miaka ya 2004 ila sio kuishi nilienda kibiasharaMkuu si ulisema uliishia boda ukarudishwa, au mimi ndo sijaelewa?
Unadhani hao jamaa walikuwa na nia gani wakati hukuwa na fedha nyingi?Unaweza kuuliza pale hujaelewa kama nilivyosema huwa sio msimuliaji mzuri
Ok. Nimeshona jibu lako.Kimsingi nilikuja kujua baada ya mda kuwa mwili wa binadamu ni bidhaa maana SA watu wanauza hadi meno figo na maiti hutumika kusafirisha madawa yakiwa tumboni
Sijui Moja kwa Moja ni nini kilikuwa kinaenda kutokea.
Asante ila mi ni Mungu aliingilia kati nje ya hapo nilikuwa sitoboi panahitaji utulivu mkubwa sana na ukiwa na kiongozi Inasaidia ila ukiwa solo tena mara ya kwanza kupotea ni kugusaAisee mkuu pole kwa yaliokukuta pale BeitBridge. Kiufupi watu wengi wamekutana na madhila makubwa na ya kutisha katika boda ile.
Nashukur Mungu mimi wakati nakuja kwa mara ya kwanz, nilikuwa na marehem mjomba wangu ambae alikuwa ni mwenyej wa muda mrefu hapa Kaburu. Na pia njia nyingi zenye usalama alikuwa anazijua.
Sikuwa najua basi nikajua ukisema mtz na vile story zetu sijui za kupigania uhuru na bra bra zingine ntaonekana mwamba dah niliukana utz on the sport warundi na wamalawi wanaaminika kidogoWabongo katika nchi zote za ukanda wa kusini hatuaminiki hata kidogo, hii nimeshuhudia mara kibao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo Niko Musina ilipaki mbele yangu gari jamaa wamefungwa kamba wanapumua kwa shida jamaa akaulizia documents kibabe hatari mi huku nawaangalia wale kwenye gari nao wakiniangalia kwa sura za umepatwa mwanetu nikampa jamaa pass ikiwa safi basi wakaondoka uzuri wao ni docs zikiwa safi hawakuulizi swali lolote wanaondokaCkuwa na chochote. ilikuwa ile miaka ya uenda wazim kuzamia. Nikapenya mpaka pale askari mmoja mzungu akaniuliza maswali flan akaniachia ile naanza kuingia askari mmoja mswahili akanistopisha ile kuniuliza baadhi ya mambo ckuwa na majibu japo nilikuwa na hela flan. Wakanikamata. Nikapikiwa kwenye gar nyumban. Kipindi hicho Harare ilikuwa safi Nairobi inasubiri
Mzungu hapana nilipata Mxhosa Lungile mi sikuishi sana kwa wazulu nimeishi na WA xhosa na coloredKwenye mihangaiko ya maisha hasa unapokua unapambania malengo yako makubwa,scenerio za hatari ni kawaida sana. Lakini vipi hukupata shemeji mzungu au mzulu huko.
Kutembea sawa ila napo hutafurahia ni nchi Ina upweke sana na ukimya uliopitilizaNataman na mimi siku moja niende huko
Ni kweli na nashukuru Mungu nilifika mchana na kesho yake nikaanza kazi mama mwenye nyumba aliniambia"you are lucky I lived in cape town four years without a job and you came yesterday today you have a job"KAZI ni kipimo cha utu
Dogo umerudi nae bongo?, nasikia ngumu sana kukuachia mtoto.South Africa nimeenda sana karibu miji yote mikubwa. Kuna vinywaji nilikuwa nauza so kwangu hakuna kilichoharibika. Nimezaa na binti mmoja sumu sana. Mwanangu ninae.