Nilivyonusurika kifo Beit bridge

Zile ghasia za wenyeji dhidi ya wageni umewahi kuzishuhudia ?
Zile kwa sehemu kubwa zinatokea Gugu lethu na Keiricha huku Capricorn ni WA colored ambao hawana sana hayo mambo so sikuweza kuzishuhudia zaidi ya kuzisikia
Zilitokea 2008 nikiwepo haikuwa poa mji ulikaa kimachale sana binafsi nilikuwa na Lungile sikuwa na shida
 
Watu wanauza meno duh huko sio kabisa
Colored wengi wameuza meno hasa ya mbele nadhani bei ilikuwa Ina range kama Randi 50 wengine Figo brother SA ni nchi na nusu ili uishi pale lazima uwe sijui namna gani
Ukijichanganya ukawa maskini ni maskini kweli na ukitoka unakuwa na decent life
 
Colored wengi wameuza meno hasa ya mbele nadhani bei ilikuwa Ina range kama Randi 50 wengine Figo brother SA ni nchi na nusu ili uishi pale lazima uwe sijui namna gani
Ukijichanganya ukawa maskini ni maskini kweli na ukitoka unakuwa na decent life
Sasa meno ya mtu wanayatumia kwa shughuli gani
 
Visa kwa South Africa
imekaaje hiyo
Hivyo ni vingi mno mkuu na mi sio msimuliaji mzuri ila tangu naingia Musina hadi nafika Cape ni miujiza TU
Kwanza pale Musina nilienda kunywa chai na slace ya mkate mama muuza akaniuliza unatoka nchi gani nikamwambia "Tanzania"akainuka kwa tahadhari kubwa na kuondoka pale ndio nikajua tz ni red flag kwa SA baada ya hapo kwa utulivu TU Nika switch ukiniuliza natoka wapi nasema Burundi basi
Sikutaka kutengwa
 
Aisee mkuu pole kwa yaliokukuta pale BeitBridge. Kiufupi watu wengi wamekutana na madhila makubwa na ya kutisha katika boda ile.

Nashukur Mungu mimi wakati nakuja kwa mara ya kwanz, nilikuwa na marehem mjomba wangu ambae alikuwa ni mwenyej wa muda mrefu hapa Kaburu. Na pia njia nyingi zenye usalama alikuwa anazijua.
 
Wabongo katika nchi zote za ukanda wa kusini hatuaminiki hata kidogo, hii nimeshuhudia mara kibao 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…