QALLI MIZOH
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 2,075
- 699
....ni pazi na jogoo..ni hadith ya "jogoo aliyesema"
Naikumbuka ile hadithi ya Kuku mkubwaa kumning'iniza mtoto, jina nimesahau kisa yule mtoto alikuwa anawabeba kuku kichwa chini miguu juu?
Naikumbuka ile hadithi ya Kuku mkubwaa kumning'iniza mtoto, jina nimesahau kisa yule mtoto alikuwa anawabeba kuku kichwa chini miguu juu?
sema mkuuVaislay
eeeehee Twin...unakumbu kumbu nzuri sana.....
Salama lakini?
Nilipomuwekea tu akaichomoa, akadai eti hajazoea. Nikamsubiri alale. Aliposikia naweka akaishika.Nikawa nachomeka kidogo kidogo wakati naye anaichomoa kidogo kidogo. Usingizi ulipompitia nikachomeka yote.
Aliposhtuka akakuta imeingia yote.
Nifanyeje ili azoee jamani?
kabla sijashauri chochote napenda kujua huwa unachomeka wapi?