Nilivyojaribu kumuwekea

JustDoItNow

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,967
Reaction score
1,513
Nilipomuwekea tu akaichomoa, akadai eti hajazoea. Nikamsubiri alale. Aliposikia naweka akaishika.Nikawa nachomeka kidogo kidogo wakati naye anaichomoa kidogo kidogo. Usingizi ulipompitia nikachomeka yote.
Aliposhtuka akakuta imeingia yote.
Nifanyeje ili azoee jamani?
 

umenikumbusha ile hadithi ya babu wa miaka 75 na mkewe wa miaka 16! lol!

babu analia eti amesahau ku-sex, mtoto nae analia hajui ku-sex!

kazi ni kwenu.....
 

hebu kalale kesho uwai kuamka
 
Naikumbuka ile hadithi ya Kuku mkubwaa kumning'iniza mtoto, jina nimesahau kisa yule mtoto alikuwa anawabeba kuku kichwa chini miguu juu?
 
mimi njiapanda jamani!!

vaislay na logistics,.naombeni msaada eti hapo juu kimeandikwa nini?
 
mimi njiapanda jamani!!

vaislay na logistics,.naombeni msaada eti hapo juu kimeandikwa nini?
Amesema eti ile nyimbo ya Mr blue ya mwaka jana sijui inapigwa sana wap?
 
Muache akue,atafundishwa kwao umri ukifika.
 
Alikuongopea kukwambia hajazoea, mbona kwangu hakusumbua hata kidogo! Alikuwa mchepuko wa karibu sana muda wowote nikimwita tu anakuja naperform kama kawa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…