Nilivyofanya bonge la sherehe baada ya mke wangu kufukuzwa kazi

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
19,979
49,075
Huyu mke nilimuoa akiwa hana kitu, kwa bahati alitafutiwa kazi na ndugu yake kwenye kampuni moja ya simu akawa analipwa kama milioni 3 kwa mwezi fasheni na yeye yeye na fasheni vipodozi kila aina,handbag na nywele za laki mbili ndio mshahara wake ukawa unaishia huko mimi mshahara wangu hauzidi laki sita,nilifanyishwa vituko vyote ndani ya nyumba ,manyanyaso yote ,hapiki hafui,hafanyi chochote ndoa ikawa inaelekea kuvunjika.

Nikaenda mahakamani kuprocess talaka wakasema mpaka nianzie baraza la usuluhishi la kata au kanisani,nikaamua kwenda kanisa tulilofungia ndoa tukaitwa kwa Baba Paroko for hearing sijui mediation sijui arbitration sijui mie nikatinga kwa bajaj ya kukodi nimepaukaaa yeye akaja na RAV4 .

Baba Paroko alivyotusikiliza akaaniita pembeni akasema kijana hapa nadhani hata tukiomba na kukariri mistari yote ya biblia plus mapambio yote ndoa yako haitarudi kama mwanzo pambana utafute hela, huyu ni mchaga katumwa pesa mjini
Nilisali sana nikasugua goti nikamuomba Mungu mara mambo yangu yakakaa sawa mshahara ukawa mara mbili plus marupurupu anagalau.

baada ya miezi miwili sina hili wala lile mara simu yangu nilishangaa mke wangu kunipigia mchana ,tumeachishwa kazi kmpuni imeuzwa,hureeeeee niliruka ruka kwa furaha sana nikapigia simu washikaji tukaenda kunywa bia na nyama choma mpaka saa sita usiku kabla polisi na makonda hawajatuvamia nilijua ile kazi ndio inaniharibia ndoa na aliipata kibahati hawezi tena kupata kazi kama ile.

Hela yote ya NSSF akajaribu kufanya kila biashara biashara zikabuma mtaji ukakata alijifanya hajui kupika sasa anapika kuliko hata wapishi wa Kempinski, alijifanya sijui hawezi kufua sasa anafua kuliko dobi ,kitandani alijifanya mvivu sasa yuko vizuri kuliko wacheza shoo wa fally ipupa, RAV4 imepaki tu muda wote ananilelea watoto kwa nini nisimshukuru Mungu
 
Huyu mke nilimuoa akiwa hana kitu, kwa bahati alitafutiwa kazi na ndugu yake kwenye kampuni moja ya simu akawa analipwa kama milioni 3 kwa mwezi fasheni na yeye yeye na fasheni vipodozi kila aina,handbag na nywele za laki mbili ndio mshahara wake ukawa unaishia huko mimi mshahara wangu hauzidi laki sita,nilifanyishwa vituko vyote ndani ya nyumba ,manyanyaso yote ,hapiki hafui,hafanyi chochote ndoa ikawa inaelekea kuvunjika.
Nikaenda mahakamani kuprocess talaka wakasema mpaka nianzie baraza la usuluhishi la kata au kanisani,nikaamua kwenda kanisa tulilofungia ndoa tukaitwa kwa Baba Paroko for hearing sijui mediation sijui arbitration sijui mie nikatinga kwa bajaj ya kukodi nimepaukaaa yeye akaja na RAV4 new model.
Baba Paroko alivyotusikiliza akaaniita pembeni akasema kijana hapa nadhani hata tukiomba na kukariri mistari yote ya biblia plus mapambio yote ndoa yako haitarudi kama mwanzo pambana utafute hela ,huyu ni mchaga katumwa pesa mjini
Nilisali sana nikasugua goti nikamuomba Mungu mara mambo yangu yakakaa sawa mshahara ukawa mara mbili plus marupurupu kibao gari ya ofisini,posho ya nyumba safari kibao baada ya miezi miwili sina hili wala lile mara simu yangu nilishangaa mke wangu kunipigia mchana ,tumeachishwa kazi kmpuni imeuzwa,hureeeeee niliruka ruka kwa furaha sana nikapigia simu washikaji tukaenda kunywa bia na nyama choma mpaka saa sita usiku kabla polisi hawajatuvamia nilijua ile kazi aliipata kibahati hawezi tena kupata kazi kama ile.
Hela yote ya NSSF akajaribu kufanya kila biashara biashara zikabuma mtaji ukakata alijifanya hajui kupika sasa anapika kuliko hata wapishi wa kempinski,alijifanya sijui hawezi kufua sasa anafua kuliko dobi ,kitandani alijifanya gogo sasa anakata kiuno kuliko wacheza shoo wa fally ipupa karibuni ataanzan kunipa shikamoo,kiburi chote kwisha ,RAV4 imepaki tu kwa nini nisimshukuru Mungu
Japo siyo vizuri kufurahia anguko la jirani wakati mwingine anguko linakuwa sehemu ya darasa. Hebu unasasa mshkaji unavyofurahia ndoa maana hapo isigekuwa kufukuzwa kazi ungekuwa unakesha bar na kwa michepuko ila sasa hivi mke anajuwa kuchekecha kiuno kama feni unapata burudani.

Aisee uwe unampa elfu kumi mara moja moja si haba ila baada ya muda umpunguzie adhabu maana mpaka hapo ameshajifunza tena sana.
 
amejifunza kwa kweli asipojifunza sasa hajifunzi tena
 
Huyu mke nilimuoa akiwa hana kitu, kwa bahati alitafutiwa kazi na ndugu yake kwenye kampuni moja ya simu akawa analipwa kama milioni 3 kwa mwezi fasheni na yeye yeye na fasheni vipodozi kila aina,handbag na nywele za laki mbili ndio mshahara wake ukawa unaishia huko mimi mshahara wangu hauzidi laki sita,nilifanyishwa vituko vyote ndani ya nyumba ,manyanyaso yote ,hapiki hafui,hafanyi chochote ndoa ikawa inaelekea kuvunjika.
Nikaenda mahakamani kuprocess talaka wakasema mpaka nianzie baraza la usuluhishi la kata au kanisani,nikaamua kwenda kanisa tulilofungia ndoa tukaitwa kwa Baba Paroko for hearing sijui mediation sijui arbitration sijui mie nikatinga kwa bajaj ya kukodi nimepaukaaa yeye akaja na RAV4 new model.
Baba Paroko alivyotusikiliza akaaniita pembeni akasema kijana hapa nadhani hata tukiomba na kukariri mistari yote ya biblia plus mapambio yote ndoa yako haitarudi kama mwanzo pambana utafute hela ,huyu ni mchaga katumwa pesa mjini
Nilisali sana nikasugua goti nikamuomba Mungu mara mambo yangu yakakaa sawa mshahara ukawa mara mbili plus marupurupu kibao gari ya ofisini,posho ya nyumba safari kibao baada ya miezi miwili sina hili wala lile mara simu yangu nilishangaa mke wangu kunipigia mchana ,tumeachishwa kazi kmpuni imeuzwa,hureeeeee niliruka ruka kwa furaha sana nikapigia simu washikaji tukaenda kunywa bia na nyama choma mpaka saa sita usiku kabla polisi hawajatuvamia nilijua ile kazi aliipata kibahati hawezi tena kupata kazi kama ile.
Hela yote ya NSSF akajaribu kufanya kila biashara biashara zikabuma mtaji ukakata alijifanya hajui kupika sasa anapika kuliko hata wapishi wa kempinski,alijifanya sijui hawezi kufua sasa anafua kuliko dobi ,kitandani alijifanya gogo sasa anakata kiuno kuliko wacheza shoo wa fally ipupa karibuni ataanzan kunipa shikamoo,kiburi chote kwisha ,RAV4 imepaki tu kwa nini nisimshukuru Mungu
saaafi sana mkuu,ila hizo process za talaka achan nazo mpk aje apate kazi atakua keshanyooka then kutakua na heshima ndan ya nyumba maisha yatakua murua.....usisahau kumtoa mkwanja awe anaenda saloon kama kaw
 
Ingawaje tunaishi kwenye nyakati ngumu zinazohitaji jitihada za wanandoa wote wawili ili kulisogeza mbele gurudumu la maendeleo....lakini wenzetu wa upande wa pili wakipata vibarua...baada ya kuwa msaada wa familia wanakuwa kero kwenye familia......
Familia nyingi ambazo wanandoa wote wanafanya kazi ni chache sana ambazo zina amani.....lakini nyingi zina utulivu tu......
 
Naelewa hizo ishu sana mimi hapa najipikia muda sasa maana ngoma haiendi tupo nyumba moja naelewa sana hali hiyo. Wanawake wanatuzingua kweli ujue!
Mungu atakuona tu mkuu usichoke kuomba ,uchumi wako ukikaa sawa ataingia tu jikoni. hayo ni mapito tu,mi nimepika sana nimeosha watoto nimejifulia nguo sana,
 
Back
Top Bottom