Nilivyoendesha gari na chupi tu

2013 bado unavaa TMK wanaume sijui Utajiju sijui VIP

Acha wakuibie tu mvaa chupi wewe
Nimetolea mfano wa nguo zilizoitwa chupi kabla ya hilo jina la boxer kuja kuwachanganya
 
Ilimtokeaga boss wangu.
Saa nne usiku nipo zangu home naona simu ya boss nikajua ananishtua kuwa intruder alarm ofisini imetriger,kupokea simu nashangaa mtu ananambia njoo na suruali na shati na viatu,nikahisi naota. Wife alikua pembeni alihisi kitu nikavunga nikatoka nje nikamuuliza boss vizuri unasemaje?
Haya mambo ya kwenda nyumbani kwa demu kisa kakuambia alishaachana na jamaa yake siyo ya kuthubutu. Boss alitoka na ndom tu kwenye dudu,bora hata we ulivaa boksa/ chupi.
 
Du! Huyo boss wako nae alikutana na noma aisee, naamini anakuheshimu sana.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kama nyani vile anavyokuaga ha ha ha
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kama nyani vile anavyokuaga ha ha ha
Yaani we acha tu sijui ningekuwa naishi na wife hapo ningeeleza nini?
 
Ha ha ha ha je ingevunjikia humo humo angetoka na nini [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuh kumbe na wanaume mvaaga chupi

Mimi nikajua mvaaga boxer
Umezaliwa juzi, kulikuwaga na chupi zinaitwa VIP zimeungwa na kauzi kwenye msamba siku ukijifanya mjanja uzi unaachia then VIP inapanda juu inakuwa kama min under sket, usiposhtuka unaeza ikita kifuani... inahama taratibu kama imetiwa utelezi!!!
 
Umezaliwa juzi, kulikuwaga na chupi zinaitwa VIP zimeungwa na kauzi kwenye msamba siku ukijifanya mjanha uzi unaachia then VIP inapanda juu inakuwa kama anda sket, usiposhtuka unaeza ikita kiguani...i ahama taratibu kama imetiwa utelezi!!!
Hawa madogo wanajifanya wajuaji kumbe hamna kitu tuwasamehe maana wamejaa elimu bila maarifa.
 
Dah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
mkuu bado upo buzwagi??
 
Hizo ni gesi za bei chee hizo iliwahi nitokea nikaibiwa ila waliiba pesa elfu 80000/= na suruali lakini nilikuwa na nguo nyingine nikavaa.
Mchongo ulifanywa na wahudumu na hizo gesti kila mkoa zipo.
Ogopa vya mteremko sana lala gesti salama.
 
Gesti za mchongo kuaibika nje nje
 
Hizo ni gesi za bei chee hizo iliwahi nitokea nikaibiwa ila waliiba pesa elfu 80000/= na suruali lakini nilikuwa na nguo nyingine nikavaa.
Mchongo ulifanywa na wahudumu na hizo gesti kila mkoa zipo.
Ogopa vya mteremko sana lala gesti salama.
Yawezeka mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…