Nilivyoendesha gari na chupi tu

Nilivyoendesha gari na chupi tu

Unachokisema na mimi kilinitikea mlandizi....ila sikuwa na demu ila nilikuwa Tungi...mida ya saa kumi au kumi na moja hivi kustuka....dirisha linamalizikia kufungwa...kukurupuka suruali hamna..na kwenye suruali kulikuwa na wallet ina laki na sabini...hapo niko na kapensi tu....kumwita mhudumu anakuja yuko full..yani kavaa kama yuko mishe tu za mchana...nikamwambia nimeibiwa suruali na wallet ina leseni na vitambulisho vyangu...akazuga ngoja nizunguke kuwafuata...ile kafika usawa wa dirisha kwa nje..ananiambia broo wametupa suruali hapa chini..nikamwambia ilete..kucheki pochi mpunga hakuna ila kadi zipo...nilichofanya hicho chumba sikulipa wala hela ya ulinzi wa gari nje...nikasepa.
Onyo:- hizi guest ni wajanja sana..madirisha yao hasa haya ya aluminium huwa hayana kufuli kwa ndani,kwahiyo wanaweka kiti usawa wa dirisha,wanajua ukiingia utatundika suruali yako kwenye kiti...hapo ndio unapopigwa na tukio.
 
Pole mkuu kumbe wahanga wa hili tupo
 
Back
Top Bottom