Popo-bawaDudu gani linapitia dirishani
Du! Wewe ni zaidi umeniua mbavuYule mpumbavu alinikurupusha kichakani nikatoka nduki wa mnyama kabisa halafu kesho yake nakutana na rafiki yangu amebeba ka mfuko ka rambo huku anacheka kishenzi, kumuuliza kulikoni ananiambia eti "we jamaa muoga sana, yani kukustua kidogo tu unakimbia hadi unaacha nguo zako, chukua hizi hapa"
Hivi nyie vijana wa juzi hamjui hata VIP na zile chupi za 007 zilikuwa muundo wa boxers lakini ziliitwa chupi, hata bukta ikivaliwa ndani Inabadilika jina na kuwa chupi.Mkuu ulivaa chupi?,au mi ndo sielewi hizo chupi za kiume zikoje?
Duuuh boksa ikivaliwa ndani automatically inageuka kuwa chupi[emoji848][emoji848]Hivi nyie vijana wa juzi hamjui hata VIP na zile chupi za 007 zilikuwa muundo wa boxers lakini ziliitwa chupi, hata bukta ikivaliwa ndani Inabadilika jina na kuwa chupi.