Uchaguzi 2020 Nilitegemea Upinzani wafanye Siasa za mitandao tu

Roadmap

JF-Expert Member
Aug 19, 2013
2,898
5,796
Wakuu, Sikutegemea kabisa Chadema waitishe mikutano ya hadhara na kuruhusu mikusanyiko kama inayo endelea sasa, Wote tunajua kuwa hawa ndugu zetu walikuwa wanapiga mayowe kuwa Convid19 itatumaliza kama hatua za haraka zisipo chukuliwa, Mwenyekiti wao Freeman Mbowe alienda mbali zaidi na Kumtaka Mheshimu Rais aweke Full or partial lockdown na curfew mbalimbali, Ila ni ajabu sana hawa watu hata bado suala la corona halijaisha ila wanaifurahia nchi yao bila face mask wala Social distancing rules, Wana enjoy kweli kweli na wanajichanganya haswa na Raia.

Hii maana yake ni kuwa Tanzania is free from Corona, We are safe and strong, Lakini hawa Wapinzani wana enjoy hizi political rallies na mikusanyiko kwa ujasiri na ushupavu wa Mheshimiwa Rais Magufuli, Rais asingechukua maamuzi haya na kuwasikiliza hao vibaraka leo pengine ingekuwa wanalia lia kuwa wamefungiwa ndani kwa ajili ya Corona wapinzani wameshindwa kutoa hata credit kwa Rais Magufuli sisi hatuna habari lao waendelee kuenjoy mikutano ya kisiasa na mikusanyiko na hata face mask tu hawavai na wajue tu wako salama chini ya Amiri Jeshi Mkuu Magufuli

Katika kipindi Tanzania inahitaji Rais mwenye maamuzi basi ni wakati huu Rais Magufuli anatosha sana na Miaka mitano atapata, Nchi haiwezi kuongozwa kwa kelele za activists wa Twitter na JF

Kasi Kasi Zaidi
JPM mitano tena
 
Wewe UVCCM tulia! Hata hiyo corona yenyewe ililetwa na mgombea wako kwa kuchelewa kwake kuchuka hatua za haraka. Kosa la Chadema liko wapi?
Corona iko wapi mkuu? Mbona hamvai hata face mask wala Ku observe social distancing rules, Tanzania hakuna corona, afu mosie iwe ni mshambaa wahii utagea shoni ivyoho
 
Rais hapaswi “kutofokea” inatakiwa arudi kwetu kwa upole na heshima atuambie

”ndugu wananchi, mlinipa dhamana ya kuwatumikia, katika KAZI mliyonituma nimefanya kadha wa kadha, kama mmeridhika naombeni mnipe tena ridhaa” sio kama anavyofanya “makasiriko” na “kutufokea”!
 
Cha Domo ni janga kubwa zaidi ya corona

Pole mkuu lakini Rais wetu Magufuli ni Msikivu sana pengine ulimquote vibaya labda kwa the way anavyoongea, October wewe na wanao kuzunguka wahamasishe Kumchagua JPM, Amani na vitu vilivyomo nchini vipo salama chini ya utawala wake
 
Maamuzi magumu ni yapi?
Kusema Korona hipo but hakuna kutoa takwimu?

Au Maamuzi magumu ni yapi? Ww kwa akili yako unaamini tz hakuna Korona?

Yan inchi zote za jirani ziwe na Korona hapa iwe hakuna,

Israel taifa teule la mungu wameanza lockdown Jana, kwaiyo mungu anatupenda Sana watanzania au
 
No force but true love
IMG_20200915_183609.jpeg
 
Rais hapaswi “kutofokea” inatakiwa arudi kwetu kwa upole na heshima atuambie

”ndugu wananchi, mlinipa dhamana ya kuwatumikia, katika KAZI mliyonituma nimefanya kadha wa kadha, kama mmeridhika naombeni mnipe tena ridhaa” sio kama anavyofanya “makasiriko” na “kutufokea”!
Labda alikufokea wewe na mume wa dada yako ila kwetu wananchi kaja kutueleza alichofanya miaka mitano iliyopita na atatufanyia nini miaka ijayo, kifupi tumeona aliyoyafanya tunampa tena kura zetu
 
Back
Top Bottom