Nilitegemea kusikia kubana matumizi ya serikali ni kuacha kununua mashangingi

Mpira wa kona

JF-Expert Member
Nov 25, 2016
350
500
Serikali imekuwa inafanya juhudi kubwa kupunguza matumizi yake ili fedha ziende kwenye miradi ya maendeleo.

Serikali kupitia Waziri Mkuu imebana matumizi kwa kuzuia Halmashauri za Jiji la Dar esvsalaam kulipa posho kwa watendaji wake.

Nikitegemea kama kweli nia ya Serikali ni kuleta maendeleo kwa wananchi basis serikali ingesitisha ununuzi wa magari ya gharama kwa watendaji wake maarufu MASHANGINGI.

Magari hayo no ya gharama sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom