Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 12,484
- 19,516
Hapo kabla alikuwepo Ngeleja, Huyu Bwana mgao ulikuwa ni kawaida jamaa alikuwa vema kwenye kupanga bila vitendo, mipango isiyo na mwisho.
Akaja Hayati Magufuli mambo yakawa bora na tukapewa ahadi umeme kushuka pindi Bwawa likiisha, akatwambia mgao ulikuwa unatengenezwa watu wauze magenerator (binafsi nikajisemea huyu mzee anapiga propaganda)
Sasa wamekuja hawa, wanazalisha excuses kuliko megawatts, wanasema kipindi kile jamaa alikuwa hafanyi maintenance, wanasahau tunachotaka sisi ni umeme wa uhakika na gharama nafuu, kama ni excuses hata sisi tunaweza kuzizalisha
Nachelea kusema huenda zama za Ngeleja zimerudi.
By Mtanzania niandikae haya nikiwa Gizani