Nilisoma half comb nawezaje kwenda kusomea software engineering

Doh kweli mi ushamba umezidi eti huu utaratibu wa mkuu ndo naujua leo sijui CME.
 
Usibishe vitu usivyojua.
Hata watu waliosoma diploma kitambo wakitokea form 4 wengi tu walikuwa wanafanya mtihani wa form 6 wakiwa ktk ya masomo ya diploma.

Kwa huyu dogo atakuwa kasoma ile program maalum ilianza wakati wa awamu ya Kikwete na kufanyiwa mabadiliko enzi za Magufuli.

Umesahau wale wa UDOM walio itwa vilaza?
 
Mtu mjinga ni yule asiejua kitu na anajua hajui. Ujinga sio kitu cha kudharauliwa maana unaweza kuelimishwa(kujuzwa) ukaondoa ujinga.

Mtu mpumbavu ni yule asie jua kitu fulani lakini hajui kama hajui, anadhani anajua, juu ya yote hakubali kama hajui na hataki kujua.

Upumbavu ni tatizo na fedhea kubwa, maana ni ngumu kwa mpumbavu kuelimika na kuelimishwa(kujuzwa) sababu mpumbavu anajiona anajua. Mpumbavu hubaki na ujinga wa kudumu daima.
 
Ndo nini sasa??? Bishana kwa hoja usiwe mjinga...
 
Labda kama wanafanya mitihani ya Arts advance...
 
Bora ulitolewa maana ni utaratibu wa kihuniii sana..
 
Labda kama wanafanya mitihani ya Arts advance...
Kozi wanasoma masomo ya sayansi au arts kulingana na ulivyo faulu kidato cha 4.

Kinashindikana nini kusoma masomo ya advance hiyo miaka 2 ya kwanza na kumalizia kizi za ualimu mwaka wa mwisho wa 3 kwa mfano?
Kwa taarifa yako, umeambiwa kozi ni ya miaka 3 ndio wanahitimu astashahada(diploma).
 
Yani ualimu unasoma ndani ya mwaka mmoja????? Au masoma ya diploma na A level yanaenda pamoja???? Au unajisajili udom diploma alafu unaenda kusoma A level shule nyingine.. Yani sijaelewaa labda mpaka nikasome nionee ila kwa akili za kawaida its Nonsense na haiingii akilini
 
Yani ukimaliza vyeti unapewa cha A level na diploma au???? Unakuwa na diploma ya ualimu
alafu degree unaenda kusomea ualimu au nini...
 
Bora ulitolewa maana ni utaratibu wa kihuniii sana..
Ila we jamaa kichwa ngumu sana sijui wa wapi yani huelewi chochote elimu yako sijui imekusaidia nini umeshaambiwa huo mfumo ulikuwepo na hata mwaka huu tamisemi imetoa majina ya watu kwenda kusomea hiyo kozi hebu Fungua akili uelewe basi usiwe close minded
 
Nielewe nini...!! Ebu nijibu ukimaliza hiyo Course unapewa Cheti cha A level au Diploma???? Na unapewa diploma ya nini kama maana diploma ni miaka mitatu sasa kuna haja gani ya wewe usome na A level tenaa at the same time?????? Unasoma chuo alafu unanambia tena ni A level???? Hivi mmelewa pombe...???? Sema labda mtu anasoma Udom masomo ya Phy..Chem na education kwa pamoja na kufanyia mtihani sio kuanza kunambia habari za A level na diploma kwa wakati mmoja... kafieni mbele hukoo na upuuzi wenu
 
Kusoma Phy na Chem hakukufanyi usome A level na diploma kwa wakati mmoja..!!


SEM NIMESOMA DIPLOMA MWISHO.. HAKUNA DIPLOMA NA A LEVEL KWA WAKATI MMOJA PAKA SHUME KABISA
 
Kuendelea kukuelekeza mtu kama wewe ni kuusapoti na kuuendeleza ujinga wako ngoja nikuache kidogo fikirisha ubongo ujue ni jinsi gani yanayodhaniwa hayawezekani yanawezekana
 
Kuendelea kukuelekeza mtu kama wewe ni kuusapoti na kuuendeleza ujinga wako ngoja nikuache kidogo fikirisha ubongo ujue ni jinsi gani yanayodhaniwa hayawezekani yanawezekana
Kafie mbele huko huna point...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…