Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Mar 16, 2017 #241 Kaboom said: Ndo unajibuje..Me too?? Naona umeweka picha ya HS akiwa mdogo Click to expand... Nimemmiss alivyokuwa mtoto maana sasa hivi karibia ananishinda tabia.
Kaboom said: Ndo unajibuje..Me too?? Naona umeweka picha ya HS akiwa mdogo Click to expand... Nimemmiss alivyokuwa mtoto maana sasa hivi karibia ananishinda tabia.
ben milazo JF-Expert Member Joined Jan 18, 2015 Posts 995 Reaction score 678 Mar 16, 2017 #242 niliskia eti peti man anampeti peti wema ana bikra sasa sijua hiyo bikra ni ya masikioni au puani ndo sijaelewa sasa
niliskia eti peti man anampeti peti wema ana bikra sasa sijua hiyo bikra ni ya masikioni au puani ndo sijaelewa sasa
kedekede JF-Expert Member Joined Aug 21, 2016 Posts 5,335 Reaction score 7,746 Mar 16, 2017 #243 Paprika said: Habari wana-chit-chat! Anza sentensi kwa maneno "Nilisikia kwamba eti...." Mfano; Nilisikia kwamba eti ukikaa kimya kwa mda mrefu kinywa kinanuka.! Click to expand... Nilisikia kwamba eti ukimuona mwanamke anashuhulikia sana sura yake kutinda nyusi,mawanja na lipstick,ujue ikulu kumejaa prawns!
Paprika said: Habari wana-chit-chat! Anza sentensi kwa maneno "Nilisikia kwamba eti...." Mfano; Nilisikia kwamba eti ukikaa kimya kwa mda mrefu kinywa kinanuka.! Click to expand... Nilisikia kwamba eti ukimuona mwanamke anashuhulikia sana sura yake kutinda nyusi,mawanja na lipstick,ujue ikulu kumejaa prawns!
Paprika JF-Expert Member Joined Feb 25, 2017 Posts 5,950 Reaction score 9,880 Mar 16, 2017 Thread starter #244 kedekede said: Nilisikia kwamba eti ukimuona mwanamke anashuhulikia sana sura yake kutinda nyusi,mawanja na lipstick,ujue ikulu kumejaa prawns! Click to expand...
kedekede said: Nilisikia kwamba eti ukimuona mwanamke anashuhulikia sana sura yake kutinda nyusi,mawanja na lipstick,ujue ikulu kumejaa prawns! Click to expand...
mwambadog JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 1,736 Reaction score 1,446 Mar 16, 2017 #245 nilisika eti jamaa huyu wa dar mkuu anachana malinda kila siku
Tuyuku JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 3,292 Reaction score 1,935 Mar 16, 2017 #246 Eti nasikia kwamba nchini Tanzania ni mahali pekee duniani penye mafuriko Jangwani
usser JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 13,978 Reaction score 14,097 Mar 16, 2017 #247 Nmeskia uz bdo upo upone Nmetia kuwa salimia
Paprika JF-Expert Member Joined Feb 25, 2017 Posts 5,950 Reaction score 9,880 Mar 16, 2017 Thread starter #248 Tuyuku said: Eti nasikia kwamba nchini Tanzania ni mahali pekee duniani penye mafuriko Jangwani Click to expand...
Tuyuku said: Eti nasikia kwamba nchini Tanzania ni mahali pekee duniani penye mafuriko Jangwani Click to expand...
Kisu Cha Ngariba JF-Expert Member Joined Jun 21, 2016 Posts 22,133 Reaction score 48,851 Mar 16, 2017 #249 joanah said: Nilisikia kwamba eti Antonio de Guzman ni member mzuri wa CHAPUTA Click to expand...
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Mar 16, 2017 #250 Nilisikia kwamba eti mondray ulimsingizia ......
Myahudi Jr II JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 6,988 Reaction score 9,213 Mar 16, 2017 #251 Nilisikiaga kwamba etiiiii ukiweka kijiti kichwani huchapwi kamaumefanya kosaa
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,273 Reaction score 96,401 Mar 16, 2017 #252 Miss Natafuta said: naskia eti wewe ni mla papuchi za wazee hapa mjini Click to expand... Mimi? Hapana.... Labda itokee tu...
Miss Natafuta said: naskia eti wewe ni mla papuchi za wazee hapa mjini Click to expand... Mimi? Hapana.... Labda itokee tu...
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Mar 16, 2017 #253 Asprin said: CC: My sweetlo Sakayo Click to expand... Nasikie eti babu unaniita, ko unataka kuniambiaje love
Asprin said: CC: My sweetlo Sakayo Click to expand... Nasikie eti babu unaniita, ko unataka kuniambiaje love
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,273 Reaction score 96,401 Mar 16, 2017 #254 Sakayo said: Nasikie eti babu unaniita, ko unataka kuniambiaje love Click to expand... Nikisema nakupenda ntakuwa nakukinaisha?? Maana hili neno sasa limezoa kunitoka kila nikuonapo.
Sakayo said: Nasikie eti babu unaniita, ko unataka kuniambiaje love Click to expand... Nikisema nakupenda ntakuwa nakukinaisha?? Maana hili neno sasa limezoa kunitoka kila nikuonapo.
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Mar 16, 2017 #255 Shunie said: nakusemea Click to expand... Mbona hujamsemea muda wote huo
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Mar 16, 2017 #256 Asprin said: Mi nlisikia eti ulinisedyuzi ndo maana Sakayo hana imani na mimi tena. Kwanini lakini?? Click to expand... Hehehe
Asprin said: Mi nlisikia eti ulinisedyuzi ndo maana Sakayo hana imani na mimi tena. Kwanini lakini?? Click to expand... Hehehe
Ty_Vigilante JF-Expert Member Joined Jan 19, 2015 Posts 2,890 Reaction score 2,460 Mar 16, 2017 #257 Nlisikie nkaona that JF is full of fun, it never stops to amaze me
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,273 Reaction score 96,401 Mar 16, 2017 #258 Sakayo said: Mbona hujamsemea muda wote huo Click to expand... Anachonga sana juu yetu... achana naye. Source: Sister P.
Sakayo said: Mbona hujamsemea muda wote huo Click to expand... Anachonga sana juu yetu... achana naye. Source: Sister P.
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,043 Mar 16, 2017 #259 Sakayo said: Mbona hujamsemea muda wote huo Click to expand... Dada nilikua nakutafuta kuna mda nimeona umeniquote kurudi kuangalia umenipotea nakuta notification nyingi
Sakayo said: Mbona hujamsemea muda wote huo Click to expand... Dada nilikua nakutafuta kuna mda nimeona umeniquote kurudi kuangalia umenipotea nakuta notification nyingi
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Mar 16, 2017 #260 Asprin said: Nikisema nakupenda ntakuwa nakukinaisha?? Maana hili neno sasa limezoa kunitoka kila nikuonapo. Click to expand... Usijali, we sema mara nyingi uwezavyo!!! Hilo neno ndo uhai wangu
Asprin said: Nikisema nakupenda ntakuwa nakukinaisha?? Maana hili neno sasa limezoa kunitoka kila nikuonapo. Click to expand... Usijali, we sema mara nyingi uwezavyo!!! Hilo neno ndo uhai wangu