Nalendwa JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 7,466 Reaction score 13,031 Mar 16, 2017 #181 Paprika said: ndoto za mchana hizo!!! Nna nywele sehemu tatu tu mwilini mwangu. Click to expand... Nilisikia kwamba eti, miaka ikienda unakuwa na nywele sehemu tano mwilini mwako. Zinaongezeka puani na masikioni.
Paprika said: ndoto za mchana hizo!!! Nna nywele sehemu tatu tu mwilini mwangu. Click to expand... Nilisikia kwamba eti, miaka ikienda unakuwa na nywele sehemu tano mwilini mwako. Zinaongezeka puani na masikioni.
Mjamaa1 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 7,836 Reaction score 6,281 Mar 16, 2017 #182 Naskia eti kwamba Missnatafuta amepata anayemtafuta !
Paprika JF-Expert Member Joined Feb 25, 2017 Posts 5,950 Reaction score 9,880 Mar 16, 2017 Thread starter #183 Ray van Boy said: Hahaaa vinyweleo kama kitoto cha mbuzi.kazi unayo binti ngoja nikakuabishe kapukuz mbele ya Quigley wako Click to expand... We kaaibishe tu! Hamna naemringia kule.
Ray van Boy said: Hahaaa vinyweleo kama kitoto cha mbuzi.kazi unayo binti ngoja nikakuabishe kapukuz mbele ya Quigley wako Click to expand... We kaaibishe tu! Hamna naemringia kule.
Paprika JF-Expert Member Joined Feb 25, 2017 Posts 5,950 Reaction score 9,880 Mar 16, 2017 Thread starter #184 joanah said: My bebe ni mondray na siwezi kumsaliti Excuse us Baki na Numbisa wako Click to expand... Ray Van Boy!!! Unaona, nilikua sahihi kusitisha process na Mondray. Alikua anatuchanganya wawili.
joanah said: My bebe ni mondray na siwezi kumsaliti Excuse us Baki na Numbisa wako Click to expand... Ray Van Boy!!! Unaona, nilikua sahihi kusitisha process na Mondray. Alikua anatuchanganya wawili.
Paprika JF-Expert Member Joined Feb 25, 2017 Posts 5,950 Reaction score 9,880 Mar 16, 2017 Thread starter #185 Ray van Boy said: Sio mm kapigwa mondray. Dadeki zake HR 999 nitamchukia daima Click to expand...
Planett JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 10,561 Reaction score 16,339 Mar 16, 2017 #186 Nilisikia kwamba eti "watu wengine akili zao hata wenyewe haziwatoshi"
Paprika JF-Expert Member Joined Feb 25, 2017 Posts 5,950 Reaction score 9,880 Mar 16, 2017 Thread starter #187 Ray van Boy said: Joanah ndio habar ya mjini kwa sasa mahondaw wako kikojozi tu kama wengine Click to expand... Hizi si ndo kauli zilizo mBANisha yule? We endelea tu!
Ray van Boy said: Joanah ndio habar ya mjini kwa sasa mahondaw wako kikojozi tu kama wengine Click to expand... Hizi si ndo kauli zilizo mBANisha yule? We endelea tu!
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,488 Reaction score 176,550 Mar 16, 2017 #188 Daby said: Niliskia haya kakuambia Shunie na shoga ake espy wapuuze wananitaka nimewakatalia. Click to expand... Hahaaaaa!! Unalo!
Daby said: Niliskia haya kakuambia Shunie na shoga ake espy wapuuze wananitaka nimewakatalia. Click to expand... Hahaaaaa!! Unalo!
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,488 Reaction score 176,550 Mar 16, 2017 #189 Daby said: Swahiba espy katuchafulia cv saana humu ndani. Kila mtoto ukimgusa anakimbia. Ila ninjas never die Click to expand... Kwani mimi ndio nilianzisha ule uzi wa nzi?
Daby said: Swahiba espy katuchafulia cv saana humu ndani. Kila mtoto ukimgusa anakimbia. Ila ninjas never die Click to expand... Kwani mimi ndio nilianzisha ule uzi wa nzi?
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,488 Reaction score 176,550 Mar 16, 2017 #190 Asprin said: Hako kabinti... espy nimeshakaandalia misa ya kumbukumbu ya kifo chake... imajin eti hata Sakayo kakasikiliza eti... imajin... imajin.. Click to expand... Unakufa lini?
Asprin said: Hako kabinti... espy nimeshakaandalia misa ya kumbukumbu ya kifo chake... imajin eti hata Sakayo kakasikiliza eti... imajin... imajin.. Click to expand... Unakufa lini?
Hute JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 6,537 Reaction score 6,479 Mar 16, 2017 #191 Paprika said: Habari wana-chit-chat! Anza sentensi kwa maneno "Nilisikia kwamba eti...." Mfano; Nilisikia kwamba eti ukikaa kimya kwa mda mrefu kinywa kinanuka.! Click to expand... nilisikia eti ukikalia chungu, unakuwa mfupi (dongo la bashite kwa gwajima jana)...anamwita gwajima mfupi...hahahaha
Paprika said: Habari wana-chit-chat! Anza sentensi kwa maneno "Nilisikia kwamba eti...." Mfano; Nilisikia kwamba eti ukikaa kimya kwa mda mrefu kinywa kinanuka.! Click to expand... nilisikia eti ukikalia chungu, unakuwa mfupi (dongo la bashite kwa gwajima jana)...anamwita gwajima mfupi...hahahaha
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,374 Reaction score 38,248 Mar 16, 2017 #192 joanah said: Nilisikia kwamba eti JPM ni _____ Click to expand... Wewe! Usituongezee ratiba mwisho wa mwezi, tuje kukutembelea Keko.
joanah said: Nilisikia kwamba eti JPM ni _____ Click to expand... Wewe! Usituongezee ratiba mwisho wa mwezi, tuje kukutembelea Keko.
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,374 Reaction score 38,248 Mar 16, 2017 #193 Emmadogo said: Nilisikia kwamba eti mkuu wa kijiji kumbe anakula marinda ya yule kijana mwenye mbwebwe aneongoza mtaa wa baharini ndio maana anamlinda asitolewe kijijini Click to expand... Wewe una hela ya kumlipa Kibatala!
Emmadogo said: Nilisikia kwamba eti mkuu wa kijiji kumbe anakula marinda ya yule kijana mwenye mbwebwe aneongoza mtaa wa baharini ndio maana anamlinda asitolewe kijijini Click to expand... Wewe una hela ya kumlipa Kibatala!
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,972 Reaction score 35,192 Mar 16, 2017 #194 Nilisikia kwamba eti, mwanajf Paprika bado ana bikira yake safiii!!!!
M mama kubwa JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 6,527 Reaction score 10,538 Mar 16, 2017 #195 Hute said: nilisikia eti ukikalia chungu, unakuwa mfupi (dongo la bashite kwa gwajima jana)...anamwita gwajima mfupi...hahahaha Click to expand... Nilisikia eti akichokozwa anaendelea na episode nyingine.
Hute said: nilisikia eti ukikalia chungu, unakuwa mfupi (dongo la bashite kwa gwajima jana)...anamwita gwajima mfupi...hahahaha Click to expand... Nilisikia eti akichokozwa anaendelea na episode nyingine.
Paprika JF-Expert Member Joined Feb 25, 2017 Posts 5,950 Reaction score 9,880 Mar 16, 2017 Thread starter #196 Hute said: nilisikia eti ukikalia chungu, unakuwa mfupi (dongo la bashite kwa gwajima jana)...anamwita gwajima mfupi...hahahaha Click to expand...
Hute said: nilisikia eti ukikalia chungu, unakuwa mfupi (dongo la bashite kwa gwajima jana)...anamwita gwajima mfupi...hahahaha Click to expand...
Paprika JF-Expert Member Joined Feb 25, 2017 Posts 5,950 Reaction score 9,880 Mar 16, 2017 Thread starter #197 CHIKIRA MTABARI said: Nilisikia kwamba eti, mwanajf Paprika bado ana bikira yake safiii!!!! Click to expand... Ndio!!! Nimeitunza kwenya kabati! Ata sijui inafananaje!!! Iliibwa kabla sijazaliwa
CHIKIRA MTABARI said: Nilisikia kwamba eti, mwanajf Paprika bado ana bikira yake safiii!!!! Click to expand... Ndio!!! Nimeitunza kwenya kabati! Ata sijui inafananaje!!! Iliibwa kabla sijazaliwa
Te Lavista JF-Expert Member Joined Mar 12, 2017 Posts 1,626 Reaction score 2,847 Mar 16, 2017 #198 CHIKIRA MTABARI said: Nilisikia kwamba eti, mwanajf Paprika bado ana bikira yake safiii!!!! Click to expand... Acha uongo mkuu. Bikra bongo kwendaaaaa
CHIKIRA MTABARI said: Nilisikia kwamba eti, mwanajf Paprika bado ana bikira yake safiii!!!! Click to expand... Acha uongo mkuu. Bikra bongo kwendaaaaa
Emmadogo JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 4,126 Reaction score 3,779 Mar 16, 2017 #199 Slim5 said: Wewe una hela ya kumlipa Kibatala! Click to expand... Mkuu wa kijiji ni nani? Marinda ni nini?
Slim5 said: Wewe una hela ya kumlipa Kibatala! Click to expand... Mkuu wa kijiji ni nani? Marinda ni nini?
xav bero JF-Expert Member Joined Nov 24, 2016 Posts 5,133 Reaction score 7,352 Mar 16, 2017 #200 Nilisikia kwamba paprika anahitaji wanaotembelea SA wasiache kumpa hi pale Jo berg