Janeth Thomson Mwambije
Member
- Apr 11, 2024
- 25
- 55
Nilifanikiwa Kushiriki Kwenye Mapokezi Ya Ndege Mpya (Boeing 737 - Max 9) Ya Shirika La Air Tanzania (Air Tanzania Company Limited) Ambapo Mgeni Rasmi Katika Mapokezi Hayo Alikuwa Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaaliwa, Kwa Niaba Ya Mheshimiwa Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Kutokana na Mheshimiwa Rais Kutingwa na Majukumu.
Katika Mapokezi Haya, Mheshimiwa Waziri Mkuu Aliweza Kumpongeza Mheshimiwa Rais Kwa Juhudi Anazozifanya, Hususani Ndani Ya Miaka Hii Mitatu, Kwa Kuimarisha Sekta Mbalimbali Ikiwemo Sekta Ya Uchukuzi, Na Kutekeleza Ilani Ya Uchaguzi Ya Chama Cha Mapinduzi Ya Mwaka 2020-2025.
Pia Mheshimiwa Waziri Mkuu, Aliweza Kutujuza Mafanikio, na Umuhimu wa Sekta Ya Uchukuzi Nchini Kwa Maendeleo Ya Taifa Letu, Ikiwa Ni Pamoja Na, Kuwa Mchango Katika Kuhakikisha Ukuaji wa Uchumi Wetu Na Kuzalisha Ajira Nchini. Kuongeza Uwezo wa Taifa Kujitegemea Kiuchumi. Kuchochea Uzalishaji, na Kutumia Vyema Fursa za Rasilimali Zilizopo Hapa Nchini. Kuchochea Upatikanaji wa Fedha za Kigeni, Nchini. Na Ongezeko La Mnyororo wa Thamani Ya Mazao Ya Kilimo, Pamoja na Biashara, Na Kadhalika.
Lakini Pia Ameweza Kusema Ndege Ambazo Zimenunuliwa Kwa Kipindi Cha Miaka Mitatu Ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ambapo Tayari Ndege Tano Zimeshawasili Ikiwemo Ndege Ya Mizigo, Ndege Ya Sita Ikiwa Ni Boeing 737-9 Max Iliyowasili Leo, Na Ndege Nyingine Moja (Boeing 787-8 Dreamliner) Ambayo Inategemewa Kuwasili Hivi Karibuni.
Na Mpaka Sasa. Kuna Endelea Na Maboresho Ya Viwanja Vya Ndege Kwenye Mikoa Mbalimbali. Kubwa Zaidi Ni Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa, Msalato - Dodoma, Pamoja na Uboreshwaji wa Uwanja wa Pili wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius K. Nyerere, Utaosaidia Kuifanya Tanzania Kuwa Kitovu Cha Anga, Afrika Mashariki.
Lakini Pia, Aligusia Mafanikio Ya Sekta Ya Uchukuzi Kwenye Reli (Ukamilisho wa Reli Ya SGR), na Usafiri wa Maziwa-Bahari (Ujenzi wa Meli Zinazokaribia Kukamilika Hivi Karibuni), Pamoja na Maboresho Ya Bandari. Kisha Akatoa Maelekezo Ya Usimamizi wa Shirika La Ndege, Ambalo Limetumiwa Fedha Nyingi Katika Uwekezaji.
Ulikuwa Wakati Mzuri.
#KaziIendelee 🇹🇿View attachment 2965988
Unapambana sana!Nilifanikiwa Kushiriki Kwenye Mapokezi Ya Ndege Mpya (Boeing 737 - Max 9) Ya Shirika La Air Tanzania (Air Tanzania Company Limited) Ambapo Mgeni Rasmi Katika Mapokezi Hayo Alikuwa Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaaliwa, Kwa Niaba Ya Mheshimiwa Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Kutokana na Mheshimiwa Rais Kutingwa na Majukumu.
Katika Mapokezi Haya, Mheshimiwa Waziri Mkuu Aliweza Kumpongeza Mheshimiwa Rais Kwa Juhudi Anazozifanya, Hususani Ndani Ya Miaka Hii Mitatu, Kwa Kuimarisha Sekta Mbalimbali Ikiwemo Sekta Ya Uchukuzi, Na Kutekeleza Ilani Ya Uchaguzi Ya Chama Cha Mapinduzi Ya Mwaka 2020-2025.
Pia Mheshimiwa Waziri Mkuu, Aliweza Kutujuza Mafanikio, na Umuhimu wa Sekta Ya Uchukuzi Nchini Kwa Maendeleo Ya Taifa Letu, Ikiwa Ni Pamoja Na, Kuwa Mchango Katika Kuhakikisha Ukuaji wa Uchumi Wetu Na Kuzalisha Ajira Nchini. Kuongeza Uwezo wa Taifa Kujitegemea Kiuchumi. Kuchochea Uzalishaji, na Kutumia Vyema Fursa za Rasilimali Zilizopo Hapa Nchini. Kuchochea Upatikanaji wa Fedha za Kigeni, Nchini. Na Ongezeko La Mnyororo wa Thamani Ya Mazao Ya Kilimo, Pamoja na Biashara, Na Kadhalika.
Lakini Pia Ameweza Kusema Ndege Ambazo Zimenunuliwa Kwa Kipindi Cha Miaka Mitatu Ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ambapo Tayari Ndege Tano Zimeshawasili Ikiwemo Ndege Ya Mizigo, Ndege Ya Sita Ikiwa Ni Boeing 737-9 Max Iliyowasili Leo, Na Ndege Nyingine Moja (Boeing 787-8 Dreamliner) Ambayo Inategemewa Kuwasili Hivi Karibuni.
Na Mpaka Sasa. Kuna Endelea Na Maboresho Ya Viwanja Vya Ndege Kwenye Mikoa Mbalimbali. Kubwa Zaidi Ni Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa, Msalato - Dodoma, Pamoja na Uboreshwaji wa Uwanja wa Pili wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius K. Nyerere, Utaosaidia Kuifanya Tanzania Kuwa Kitovu Cha Anga, Afrika Mashariki.
Lakini Pia, Aligusia Mafanikio Ya Sekta Ya Uchukuzi Kwenye Reli (Ukamilisho wa Reli Ya SGR), na Usafiri wa Maziwa-Bahari (Ujenzi wa Meli Zinazokaribia Kukamilika Hivi Karibuni), Pamoja na Maboresho Ya Bandari. Kisha Akatoa Maelekezo Ya Usimamizi wa Shirika La Ndege, Ambalo Limetumiwa Fedha Nyingi Katika Uwekezaji.
Ulikuwa Wakati Mzuri.
#KaziIendelee 🇹🇿View attachment 2965988
Usinikumbushe! Huo ni uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mtu.Nilifanikiwa Kushiriki Kwenye Mapokezi Ya Ndege Mpya (Boeing 737 - Max 9) Ya Shirika La Air Tanzania (Air Tanzania Company Limited) Ambapo Mgeni Rasmi Katika Mapokezi Hayo Alikuwa Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaaliwa, Kwa Niaba Ya Mheshimiwa Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Kutokana na Mheshimiwa Rais Kutingwa na Majukumu.
Katika Mapokezi Haya, Mheshimiwa Waziri Mkuu Aliweza Kumpongeza Mheshimiwa Rais Kwa Juhudi Anazozifanya, Hususani Ndani Ya Miaka Hii Mitatu, Kwa Kuimarisha Sekta Mbalimbali Ikiwemo Sekta Ya Uchukuzi, Na Kutekeleza Ilani Ya Uchaguzi Ya Chama Cha Mapinduzi Ya Mwaka 2020-2025.
Pia Mheshimiwa Waziri Mkuu, Aliweza Kutujuza Mafanikio, na Umuhimu wa Sekta Ya Uchukuzi Nchini Kwa Maendeleo Ya Taifa Letu, Ikiwa Ni Pamoja Na, Kuwa Mchango Katika Kuhakikisha Ukuaji wa Uchumi Wetu Na Kuzalisha Ajira Nchini. Kuongeza Uwezo wa Taifa Kujitegemea Kiuchumi. Kuchochea Uzalishaji, na Kutumia Vyema Fursa za Rasilimali Zilizopo Hapa Nchini. Kuchochea Upatikanaji wa Fedha za Kigeni, Nchini. Na Ongezeko La Mnyororo wa Thamani Ya Mazao Ya Kilimo, Pamoja na Biashara, Na Kadhalika.
Lakini Pia Ameweza Kusema Ndege Ambazo Zimenunuliwa Kwa Kipindi Cha Miaka Mitatu Ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ambapo Tayari Ndege Tano Zimeshawasili Ikiwemo Ndege Ya Mizigo, Ndege Ya Sita Ikiwa Ni Boeing 737-9 Max Iliyowasili Leo, Na Ndege Nyingine Moja (Boeing 787-8 Dreamliner) Ambayo Inategemewa Kuwasili Hivi Karibuni.
Na Mpaka Sasa. Kuna Endelea Na Maboresho Ya Viwanja Vya Ndege Kwenye Mikoa Mbalimbali. Kubwa Zaidi Ni Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa, Msalato - Dodoma, Pamoja na Uboreshwaji wa Uwanja wa Pili wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius K. Nyerere, Utaosaidia Kuifanya Tanzania Kuwa Kitovu Cha Anga, Afrika Mashariki.
Lakini Pia, Aligusia Mafanikio Ya Sekta Ya Uchukuzi Kwenye Reli (Ukamilisho wa Reli Ya SGR), na Usafiri wa Maziwa-Bahari (Ujenzi wa Meli Zinazokaribia Kukamilika Hivi Karibuni), Pamoja na Maboresho Ya Bandari. Kisha Akatoa Maelekezo Ya Usimamizi wa Shirika La Ndege, Ambalo Limetumiwa Fedha Nyingi Katika Uwekezaji.
Ulikuwa Wakati Mzuri.
#KaziIendelee 🇹🇿View attachment 2965988
Hana uwezo huoSio kwa ubaya Sio kwa ubaya
Naomba mnisaidie kunielewesha katika hili,
Kwenye ripoti kadhaa za CAG mfano ripoti ya 2021/2022 kumeonekana kuwa ATCL inaingiza hasara, sio Bilioni 30.63 au ile bilioni 150 ndani ya miaka mitano! Je mko na mipango ya kupata faida au ndo Mama anaupiga mwingi!?
Sio kwa ubaya Sio kwa ubaya
Majangili ya nchi yameshapiga pesaView attachment 2966104
Baada ya miaka 10, tutafilisika..!! Endeleeni kuzipokea ndege zinazotia hasara ya hivi kila mwaka..!!
Na mbaya zaidi hakuna ambaye anaongea chochote katika ripoti ni mithili ya makaratasi tu! Sasa ndege zinakuja ila zinaleta hasara tu! Kodi za wananchi zinapotea tu!Hana uwezo huo
Hawa UVCCM akishapewa elfu 10 ya kunywa konyagi akili inaishia hapo anaanza kuishi kwa matumaini kusubiri uteuziNa mbaya zaidi hakuna ambaye anaongea chochote katika ripoti ni mithili ya makaratasi tu! Sasa ndege zinakuja ila zinaleta hasara tu! Kodi za wananchi zinapotea tu!
Kwa utaratibu wa Chama chetu na kwa jinsi anavyovutia, nakuhakikishia kuwa huyu binti muda si mrefu anaanza kula mema ya nchi hii. Hatuhitaji watu wenye akili kubwa kabisaWewe ni sehemu ya wahujumu uchumi wakubwa wa taifa hili, sahivi wewe ni chawa mkubwa maisha yako yatakuwa ya ujanja ujanja na utapeli mpk unazeeka, kwanza kuolewa wewe ndiyo bye bye maisha yako yote usipobadilika. Sahivi kazi yako kubwa ni kujipendekeza kwa wakubwa na kupiga mizinga.
Ana elimu? ukute ni F4Kwa utaratibu wa Chama chetu na kwa jinsi anavyovutia, nakuhakikishia kuwa huyu binti muda si mrefu anaanza kula mema ya nchi hii.
Baada ya hapo hatakuwa na mvuto tena watakuja wenzake waliozaliwa 2008Dah, basi mkuu, ila 2024/2025 hawa hawatalala njaa
Wanatumikaga kama bablishiiiiiiiiii...!!! Ikiisha utamu inatemwaBaada ya hapo hatakuwa na mvuto tena watakuja wenzake waliozaliwa 2008
Daah Shikamoo Tanzania!Hawa UVCCM akishapewa elfu 10 ya kunywa konyagi akili inaishia hapo anaanza kuishi kwa matumaini kusubiri uteuzi
Sidhani, hapo anatafuta kuchomokea viti maalum au uDC hapo unahitaji kujua kusoma na kuandika pekeeNasikia kamaliza TEKU