Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,449
- 100,745
Ngoja leo niishie hapa Mpwa, nina hasira sana ngoja niendelee pengine na mapumziko kwanzaMpwa nini tena unataka kutuambia? Hilo la udhaifu tunalijua na wao wanalijua.
Kuna jambo la ziada unataka kusema, sema!
Funguka Mkuu usihofu...ukoo wa panya hauna lolote we sema tu.Ngoja leo niishie hapa Mpwa, nina hasira sana ngoja niendelee pengine na mapumziko kwanza
Ngoja leo niishie hapa Mpwa, nina hasira sana ngoja niendelee pengine na mapumziko kwanza
Hahahahhaaa sometimes natamani nimkamate mmoja nimkate mitamaWakati mwingine punguzia hasira JF usije kuta unaenda kuzimalizia kwa shemeji bure! Mada inaweza kujadiliwa na ikafika mahali yale mazoba ya mtaa ule pale kati yakaingia na ukisoma post zao zilivyojaa ujinga wa utetezi wakati mwingine ni burudani tosha tuu
Hahahahhaaa sometimes natamani nimkamate mmoja nimkate mitama
yeap unachosema ni kweli kabisa aiseee, ila dah kuna watu wanatia hasiri sana sanaMkuu utakata wangapi mitama wakati wamejaa kama Ranchi ya Kongwa ilivyo jaa ming'ombe?
Hao ni wa kuchukulia hivyo hivyo maana ni mzigo wa kitaifa. Watapukutika wenyewe mpaka wataisha maana nadhani kizazi hicho cha mazoba hawazaliwi tena baada ya kina mama wajawazito kuelewa umuhimu wa chakula bora na matunda wakati wana mimba.
Yaani nina hasira nao aisee. Unaona kbs jinsi yanaingilia mambo yanatumika ndivyo sivyo yamekuwa machumia tumbo tu. Yanakera ile mby. Nikisikia limoja limepigwa huwa nafurahi acha tu. Halafu huyu baba yao hp town aka misifa mtoa mapovu aka makinda na sura yake anayopenda kuweka ' on sale' kila taarifa ya hbr ananikera km nn. Ningejuwa na mguu wa jogoo namlenga ya jicho walahi na Mungu angenisamehe. This is too much aisee looooNimeshaandika mara nyingi sana kuhusu jeshi la polisi, sitaki kukaa kimya eti kwasababu watatutisha ila ukweli lazima usemwe. Jeshi letu liachane na mambo ya siasa, waheshimu kazi zao, wasitumike kwa maslahi ya watu au chama fulani cha kisiasa huku wakijitapa kuwa wako imara.
Wawalinde wananchi na mali zao na ningependa kuona wale ambao waliahaidiwa vyeo kwa kukamilisha mipango fulani basi huu ndio msimu wao, wasipopandishwa hivyo vyeo basi wajue kuwa walitusaliti nasi siku inakuja watatukumbuka.
Duh nilifikiri niko alone, basi tatizo ni kubwa sanaYaani nina hasira nao aisee. Unaona kbs jinsi yanaingilia mambo yanatumika ndivyo sivyo yamekuwa machumia tumbo tu. Yanakera ile mby. Nikisikia limoja limepigwa huwa nafurahi acha tu. Halafu huyu baba yao hp town aka misifa mtoa mapovu aka makinda na sura yake anayopenda kuweka ' on sale' kila taarifa ya hbr ananikera km nn. Ningejuwa na mguu wa jogoo namlenga ya jicho walahi na Mungu angenisamehe. This is too much aisee loooo
Mkuu utakata wangapi mitama wakati wamejaa kama Ranchi ya Kongwa ilivyo jaa ming'ombe?
Hao ni wa kuchukulia hivyo hivyo maana ni mzigo wa kitaifa. Watapukutika wenyewe mpaka wataisha maana nadhani kizazi hicho cha mazoba hawazaliwi tena baada ya kina mama wajawazito kuelewa umuhimu wa chakula bora na matunda wakati wana mimba.
Huna lolote la maana!!
Nime jitahidi ni scrow labda nitakuta umeandika jambo ulilofanyiwa kwa kuonewa hakuna kitu zaidi ya ujinga!!
Mpwa na wanazidi kuwa dhaifu, four years laterMpwa nini tena unataka kutuambia? Hilo la udhaifu tunalijua na wao wanalijua.
Kuna jambo la ziada unataka kusema, sema!